RC ashangaa mkaa kuingiza mapato
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameishangaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuweka ushuru wa mkaa kama eneo la ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutaka biashara hiyo ikome kwa sababu madhara yake ni makubwa katika uharibifu wa mazingira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Lema ashangaa Serikali kujikosesha mapato
10 years ago
Habarileo24 Jan
Bandari kuingiza mapato Sh trilioni 1 kwa mwaka
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande amesema bandari hiyo ina uwezo wa kuingiza kipato kinachofikia Sh trilioni moja kwa mwaka, kama baadhi ya vikwazo vitashughulikiwa.
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Wema ashangaa mashabiki
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Lowassa ashangaa agizo la JK kupuuzwa
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ameelezea kusikitishwa kwake na kasi ndogo ya viongozi wa serikali mkoani Arusha katika kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete kutaka kuwepo...
10 years ago
Mtanzania25 May
Tuzo za TAFA zatolewa, Ray ashangaa
FARAJA MASINDE
LICHA ya Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) kufanikiwa kutoa tuzo za kwanza za TAFA, mwigizaji maarufu, Vicent Kigosi ‘Ray’, ameonyesha kutoridhishwa na uandaaji wa tuzo hizo.
Tuzo hizo zilitolewa juzi usiku katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, huku Ray akikosekana katika kipengele hata kimoja kati ya vilivyoshindanishwa.
Ray aliingia ukumbini hapo akiongozana na msichana wakiwa wamechelewa, ingawa walikuwa makini kufuatilia utoaji...
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Ben Pol ashangaa Jikubali kutopenya KTMA
MKALI wa muziki wa RnB nchini, Bernad Paul ‘Ben Pol’, amesema ameshangaa kuona kazi yake ya ‘Jikubali’ ikishindwa kuingia katika tuzo za Kilimanjaro Music (KTMA), kutokana na kwamba imefanya vizuri...
10 years ago
GPLMTITU ASHANGAA NISHA, JB KUKUBALI FILAMU ZA BUKU
10 years ago
Habarileo23 Oct
Kikwete ashangaa viongozi wanaoua, kutesa raia
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuwa katika enzi za sasa za Utawala Bora bado baadhi ya Serikali na viongozi wa Afrika wanaua na kutesa raia wao kwa kisingizio kuwa Utawala Bora siyo mfumo wa Kiafrika.