‘Mipango madhubuti utajiri wa gesi utaepusha laana zake’
WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Oct
‘Mipango mizuri utajiri wa gesi utaepusha na laana’
WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
RC Singida ataka mipango madhubuti kulinda raslimali maji
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye ufunguaji wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya mwisho ya taarifa ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji wa bodi ya maji ya bonde la kati, liyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aquar Vitae hotel mjini Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone ametoa wito kwa Wizara ya Maji na taasisi zake, kuhakikisha ngazi zote za jamii zinapata taarifa sahihi juu ya umuhimu wa...
9 years ago
StarTV28 Nov
Wafanyabiashara soko la dagaa waiomba Serikali kuwawekea mipango madhubuti
Wafanyabiashara wa Dagaa nchini wameiomba Serikali kuweka mipango madhubuti ya kuimarisha soko la dagaa ndani na nje ya Tanzania ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi kupitia rasilimali hiyo.
Wamesema kwa sasa kuna ongezeko la uhijati wa dagaa katika maeneo mengi ikiwa ni pamoja na nje ya Tanzania, lakini bado wanakabiliwa na changamoto ya upataji wa masoko hayo ya nje kulingana na viwango vya kimataifa.
Jijini Dar Es Salaam, baadhi ya wafanyabiashara kutoka mikoa inayovua dagaa kwa ajili ya...
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Sera madhubuti ya gesi kuinyayua Tanzania
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa (kushoto) akielekea kukwea pipa kuelekea nchini Ghana kwenye ziara ya mafunzo ya wiki mbili.
Na Marco Mipawa, Accra- Ghana
Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza katika maendeleo ya uchumi iwapo itaweka sera madhubuti za uzalishaji wa Gesi na kuwa na viongozi wenye dhamira dhabiti ya kuiendeleza nchi na kuboresha maisha ya watu.
Haya yamebainishwa na Meneja wa Redio Kahama FM Marco Mipawa leo wakati akiendelea na ziara ya mafunzo nchini Ghana...
10 years ago
GPL![](https://dub123.mail.live.com/Handlers/ImageProxy.mvc?bicild=&canary=hc29iaFoUs7ntYn4h1jkUT1XxdzegWvps3z6qTVfdGA%3d0&url=http%3a%2f%2fdewjiblog.com%2fwp-content%2fuploads%2f2014%2f12%2fMipawa-to-Ghana.jpg&width=650)
SERA MADHUBUTI YA GESI KUINYAYUA TANZANIA
11 years ago
Habarileo08 Jul
Majirani kushiriki utajiri wa gesi
UTAFITI zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani. Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa iliyowekwa hivi karibuni katika Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa, imefafanua kwa undani historia ya mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa maisha ya kiuchumi ya Watanzania na uwezekano huo katika siku za hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kuna baadhi ya miamba inayozalisha gesi...
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Wadau: Utajiri wa lugha ya Kiswahili ni zaidi ya gesi na madini
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Utalii Mikindani umo ndani utajiri wa gesi Mikindani