Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majirani kushiriki utajiri wa gesi

UTAFITI zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani. Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa iliyowekwa hivi karibuni katika Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa, imefafanua kwa undani historia ya mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa maisha ya kiuchumi ya Watanzania na uwezekano huo katika siku za hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kuna baadhi ya miamba inayozalisha gesi...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu


NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa  ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu  katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...

 

10 years ago

Habarileo

‘Mipango mizuri utajiri wa gesi utaepusha na laana’

WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau: Utajiri wa lugha ya Kiswahili ni zaidi ya gesi na madini

Kwa hali ilivyo nchini, kuna kila sababu ya kusema kuwa lugha ya Kiswahili imesuswa na wale waliopewa jukumu la kuiendeleza. Kibaya ni kuwa wanaofanya hivyo hawajui thamani ya lugha hiyo kwa maendeleo ya Tanzania kiutamaduni na hata kiuchumi.

 

10 years ago

Habarileo

‘Mipango madhubuti utajiri wa gesi utaepusha laana zake’

WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Utalii Mikindani umo ndani utajiri wa gesi Mikindani

Hadi sasa changamoto kubwa ambayo haijaweza kushughulikiwa ipasavyo ni kuhamisha mapato yanayotokana na utajiri wa madini kwenda kuimarisha sekta nyingine za uchumi, hasa zile ambazo zinaweza kushughulikiwa moja kwa moja na wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tanzania haitishwi majirani kujitenga’

Serikali imesema kuwa hatua iliyoanzishwa na nchi za Rwanda, Kenya na Uganda ambayo imeruhusu raia wake kusafari ndani ya nchi hizo kwa kutumia vitambulisho vya taifa badala ya hati ya kusafiria kuwa siyo tishio.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bayi awashukuru majirani Mkuza

MKURUGENZI wa Shule za Filbert Bayi, Anna Bayi, amewashukuru wakazi wa Kwamatiasi, Mkuza Kibaha mkoani Pwani kwa msaada wao mkubwa walioutoa wakati wa tukio la kuungua moto kwa shule ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Majirani kuwasha moto leo

Mashabiki wa soka England, Hispania au hata Afrika Mashariki zinakopendwa timu hizo leo watatuliza kiu zao kwa kuona mechi kali baina ya majirani, maarufu derby.

 

11 years ago

GPL

MAJIRANI WAMLALAMIKIA JIDE KWA UCHAFU

Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJIRANI wanaoishi karibu na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’ wamelalamika kwamba mwanamuziki huyo ameiweka nyumba yake katika mazingira ya uchafu yanayohatarisha maisha yao. Mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’. Wakizungumza na Amani, majirani hao wanaoishi Kimara-Temboni jijini Dar, walisema mwanadada huyo ameacha vichaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani