MAJIRANI WAMLALAMIKIA JIDE KWA UCHAFU
![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL3qYMvlS3AP0hXCEIL-jYIx5W8SyxevECRpB1pyfZMuzjFZpTahjboIev5DgCLVQgC1imggPzrm*OY9O*FNQy1*/JIDE.jpg?width=650)
Gladness Mallya na Hamida Hassan MAJIRANI wanaoishi karibu na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’ wamelalamika kwamba mwanamuziki huyo ameiweka nyumba yake katika mazingira ya uchafu yanayohatarisha maisha yao. Mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’. Wakizungumza na Amani, majirani hao wanaoishi Kimara-Temboni jijini Dar, walisema mwanadada huyo ameacha vichaka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Ofisa afya mbaroni kwa uchafu
11 years ago
Mwananchi17 Dec
TFDA yafunga machinjio kwa uchafu Mbeya
10 years ago
GPLWAKAZI WA BUGURUNI WALALAMIKIA KUONGEZEKA KWA UCHAFU
11 years ago
Habarileo29 May
Bilioni 301/- zapotea kwa uchafu wa mazingira
TANZANIA inapoteza jumla ya shilingi bilioni 301 kila mwaka kama gharama ya kukabiliana na madhara ya uchafu wa mazingira.
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Wafugaji wamlalamikia diwani
WAFUGAJI wa Kata ya Kwamatuku, Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, wamemlalamikia diwani wa kata hiyo, Mustaph Beleko, kuwa anatumia vibaya agizo la Mkuu wa Wilaya hiyo, Muhingo Rweyemamu la kupunguza ...
11 years ago
GPLMSASANI BONDE LA MPUNGA DAR YATISHA KWA UCHAFU
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
CWT Ngorongoro wamlalamikia Mkurugenzi
CHAMA Cha Walimu Nchini (CWT), wilayani Ngorongoro kimemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, John Mgalula kwa kukataa kuunda Baraza la Wafanyakazi. Imedaiwa kuwa hali hiyo imepunguza ari ya watumishi...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
TAWOMA wamlalamikia Waziri Muhongo
MWENYEKITI wa Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (TAWOMA), Eunice Negele, amelalamikia Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwamba ana mpango wa kukiua chama hicho. Sambamba na hilo, Mwenyekiti...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wakazi Loliondo wamlalamikia Waziri Nyalandu
WAKAZI wa Tarafa ya Loliondo, wamemlalamikia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa nia ya kutaka kuvichukua tena vijiji nane vya eneo lao ili kuvigeuza kuwa hifadhi. Waziri Nyalandu...