Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWT Ngorongoro wamlalamikia Mkurugenzi

CHAMA Cha Walimu Nchini (CWT), wilayani Ngorongoro kimemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, John Mgalula kwa kukataa kuunda Baraza la Wafanyakazi. Imedaiwa kuwa hali hiyo imepunguza ari ya watumishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

CWT Mwanza chatishia mgogoro na mkurugenzi wa jiji

Chama cha Walimu Tanzania CWT wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kimesema kitatangaza mgogoro na mkurugenzi wa jiji la Mwanza kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu wilayani humo jumla ya shilingi milioni 707.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CWT wilaya ya Nyamagana, hatua hiyo inatokana na mkurugenzi wa jiji la Mwanza kushindwa kujibu barua yao ya madai hayo yanayohusisha fedha za nauli ya likizo, malimbikizo ya mishahara na uhamisho. Projestus Binamungu ameandaa taarifa ifuatayo:

Katika...

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wamlalamikia diwani

WAFUGAJI  wa  Kata  ya  Kwamatuku, Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, wamemlalamikia diwani  wa  kata  hiyo, Mustaph  Beleko,  kuwa  anatumia vibaya agizo la Mkuu wa Wilaya hiyo, Muhingo  Rweyemamu  la kupunguza ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAWOMA wamlalamikia Waziri Muhongo

MWENYEKITI wa Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (TAWOMA), Eunice Negele, amelalamikia Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwamba ana mpango wa kukiua chama hicho. Sambamba na hilo, Mwenyekiti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Loliondo wamlalamikia Waziri Nyalandu

WAKAZI wa Tarafa ya Loliondo, wamemlalamikia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa nia ya kutaka kuvichukua tena vijiji nane vya eneo lao ili kuvigeuza kuwa hifadhi. Waziri Nyalandu...

 

11 years ago

GPL

MAJIRANI WAMLALAMIKIA JIDE KWA UCHAFU

Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJIRANI wanaoishi karibu na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’ wamelalamika kwamba mwanamuziki huyo ameiweka nyumba yake katika mazingira ya uchafu yanayohatarisha maisha yao. Mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo, Judith Wambura ‘Jide’. Wakizungumza na Amani, majirani hao wanaoishi Kimara-Temboni jijini Dar, walisema mwanadada huyo ameacha vichaka...

 

10 years ago

Michuzi

BAADA YA KUFUNGWA 2-0 NA MAHASIMU WAO YANGA, SIMBA WAMLALAMIKIA REFA

Ankal akiwa na Haji S.Manara
Mkuu wa habari wa Simba leo jijini Dar es salaamTarehe 26-9-2015 jana jumamosi kulifanyika mechi ya ligi kuu ya vodacom Tanzania bara baina y a klabu yetu ya Simba na timu ya Yanga. Kwenye mchezo huo timu yetu imepoteza mchezo huo kwa kufungwa goli mbili kwa bila.
Tumeanza kuandika hvyo hapo juu kwa maksudi kuonyesha sisi Simba tumeyakubali matokeo hayo ya dakika tisini za mchezo na tutumie nafasi hii kiungwana kabisa kuwapongeza watani wetu wa jadi kwa ushindi huo...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.Balozi Mushy (wa nne kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani