CWT Mwanza chatishia mgogoro na mkurugenzi wa jiji
Chama cha Walimu Tanzania CWT wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kimesema kitatangaza mgogoro na mkurugenzi wa jiji la Mwanza kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu wilayani humo jumla ya shilingi milioni 707.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CWT wilaya ya Nyamagana, hatua hiyo inatokana na mkurugenzi wa jiji la Mwanza kushindwa kujibu barua yao ya madai hayo yanayohusisha fedha za nauli ya likizo, malimbikizo ya mishahara na uhamisho. Projestus Binamungu ameandaa taarifa ifuatayo:
Katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWANAHARAKATI AVAA GUNIA NA KUTINGA OFISI ZA JIJI KUMDAI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA AMLIPE FEDHA ZAKE
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
CWT Ngorongoro wamlalamikia Mkurugenzi
CHAMA Cha Walimu Nchini (CWT), wilayani Ngorongoro kimemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, John Mgalula kwa kukataa kuunda Baraza la Wafanyakazi. Imedaiwa kuwa hali hiyo imepunguza ari ya watumishi...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-4aKGJ6JlyvA/Vapm2ehPFDI/AAAAAAAC8r4/9ZiNK2syo88/s72-c/_MG_7312.jpg)
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4aKGJ6JlyvA/Vapm2ehPFDI/AAAAAAAC8r4/9ZiNK2syo88/s640/_MG_7312.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-MJ0d-8ABhd4/VapnUSkWzlI/AAAAAAAC8sA/OSmdrUOCa9A/s640/_MG_7339.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4aKGJ6JlyvA/Vapm2ehPFDI/AAAAAAAC8r4/9ZiNK2syo88/s72-c/_MG_7312.jpg)
MAELFU WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-4aKGJ6JlyvA/Vapm2ehPFDI/AAAAAAAC8r4/9ZiNK2syo88/s640/_MG_7312.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-MJ0d-8ABhd4/VapnUSkWzlI/AAAAAAAC8sA/OSmdrUOCa9A/s640/_MG_7339.jpg)
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza
Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....
11 years ago
Habarileo29 Mar
Mkurugenzi awaasa madiwani wa Jiji
MADIWANI na watendaji wa kata 12 za halmashauri ya jiji la Mwanza, wametakiwa kuweka takwimu katika taarifa zao za utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya kata kubaini ukubwa wa matatizo.
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Bunge lamkamia Mkurugenzi wa Jiji la Dar
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Bunge lamkaanga Mkurugenzi Jiji Dar
BUNGE limemshughulikia Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe, likitaka ang’olewe kwa madai ni kiongozi mbovu, mbadhilifu na amekuwa akizua vurugu kila anakohamishiwa. Pamoja na kuibua matatizo kila...
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha apania kuirejesha timu ya AFC ligi kuu
Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi (mwenye suti nyeusi).
Na Woinde Shizza,Arusha
Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Juma Iddi amepania kuipandisha ligi timu ya Arusha FC inayoshiriki ligi daraja la pili msimu huu, huku akiwataka viongozi wa sasa wa timu hiyo kuwa kama kamati na jiji hilo kuhakikisha swala hilo linafanikiwa.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, mapema ofisini kwake alisema kuwa kwa kuwa tayari usajili umekwisha fanyika kwa sasa wanatafuta kocha mwenye ujuzi na...