Wakazi Loliondo wamlalamikia Waziri Nyalandu
WAKAZI wa Tarafa ya Loliondo, wamemlalamikia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa nia ya kutaka kuvichukua tena vijiji nane vya eneo lao ili kuvigeuza kuwa hifadhi. Waziri Nyalandu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWaziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alipokutana na baadhi aya madiwani wa Loliondo
10 years ago
Habarileo08 Dec
Wachonganishi Loliondo kukiona-Nyalandu
SERIKALI imesema haitasita kuwafukuza wawekezaji, taasisi au mashirika yasiyo ya kiserikali, yanayofanya uchonganishi katika maeneo ya hifadhi na uwindaji.
10 years ago
Habarileo21 Nov
Nyalandu: Taarifa za kufukuza Wamasai Loliondo ni uzushi
SERIKALI imesema haina mpango, haifikirii na wala haijaidhinisha kuwafukuza Wamasai zaidi ya 40,000 walioko katika eneo la Loliondo mkoani Arusha.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Nyalandu: Hatuna mpango kufukuza Wamasai Loliondo
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema habari zinazodai serikali inataka kuwaondoa wakazi wa zaidi ya 40,000 eneo la Loliondo mkoani Arusha ni za uongo na uchokozi. Novemba mwaka...
10 years ago
MichuziNYALANDU: HATUNA MPANGO WA KUWAONDOA WAMASAI LOLIONDO
Novemba mwaka huu, gazeti The Guardian la nchini Uingereza, liliandika habari kuwa serikali ina mpango wa kuwafukuza Wamasai wanaoishi eneo hilo.
Gazeti hilo lilidai kuwa, lengo ni kuwapatia eneo lenye kilometa za mraba 1,500, kampuni ya OBC ya Falme za Kiarabu.
Akizungumza na wananchi wa...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
TAWOMA wamlalamikia Waziri Muhongo
MWENYEKITI wa Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (TAWOMA), Eunice Negele, amelalamikia Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwamba ana mpango wa kukiua chama hicho. Sambamba na hilo, Mwenyekiti...
10 years ago
MichuziNYALANDU ATINGA LOLIONDO KUJADILIANA NA MADIWANI KUHUSIANA NA MGOGORO WA ARDHI KATIKA MAENO HAYO
9 years ago
Vijimambo29 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7F975s5rOKj9as-7TklWRFpQnCrmLP4fKunjdxT2SNd6t550CwhT3gbi2M1cm5farmmRwjRorvSQdvTrnMUPplwLvvsjkGY5/unnamed1.jpg?width=650)
WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN