Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amteua Diwani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai

DSC00265

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya (pichani), kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino...

 

10 years ago

Michuzi

MAKOSA YA JINAI KIPAUMBELE NA JESHI LA POLISI

 Mkurugenzi  wa Upelelezi  wa  makosa  ya Jinai,(CP) Diwani  Athuman akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara ya mambo ya Ndani juu ya Operesheni  usalama  imetokana na maamuzi  yaliyofikiwa kwenye mikutano ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kati ya Nchi za Kusini  mwa Afrika na Mashariki mwa Afrika  waliokutana  chini ya mwavuli wa (SARPCCO) na (EAPCCO) uliofanyika Johanesburg nchini  Afrika  Kusini.  Baadhi ya waandishi wa habari...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA WA PPF AFANYA MAZUNGUMZO YA AWALI KUHUSU UWEKEZAJI KATIKA MAENEO YA JESHI LA MAGEREZA MKOA WA DAR ES SALAAM NA MTWARA

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio eneo linalofaa Uwekezaji wa Hoteli kubwa ya Kimataifa lililopo Ukonga, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa PPF amefanya mazungumzo ya Awali na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza kuhusu Uwekezaji katika maeneo ya Jeshi la Magereza leo Agosti 11, 2014 Jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini John Casmir Minja akiagana...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF AFANYA MAZUNGUMZO YA AWALI KUHUSU UWEKEZAJI KATIKA MAENEO YA JESHI LA MAGEREZA MKOA WA DAR ES SALAAM NA MTWARA

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akiongoza Kikao cha Mazungumzo ya Awali na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio(hayupo pichani) kuhusu Uwekezaji katika maeneo ya Jeshi la Magereza Mikoa ya Dar es Salaam na Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio akifanya mazungumzo ya Awali na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani) kuhusu Uwekezaji katika maeneo ya Jeshi la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi hawarekodi makosa ya jinai UK

Zaidi ya robo ya visa vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyoripotiwa havirekodiwi na Polisi nchini Uingereza, waangalizi wameeleza.

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR LAWAACHIA HURU MWENYEKITI WA BODI YA TPDC NA KAIMU MKURUGENZI MKUU

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri  ufafanuzi wa Bunge kutokana na tuhuma zinazowakabili. Awali, jana tarehe 03/10/2014 saa tano asubuhi katika ukumbi wa Bunge uliopo jijini Dar es Salaam katika chumba cha mikutano kulikuwa na kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani