JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR LAWAACHIA HURU MWENYEKITI WA BODI YA TPDC NA KAIMU MKURUGENZI MKUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-1Af6LhTCLeI/VFibSORnDcI/AAAAAAAGvYs/2HbVEFtpExk/s72-c/TPDC%2B(1).jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri ufafanuzi wa Bunge kutokana na tuhuma zinazowakabili. Awali, jana tarehe 03/10/2014 saa tano asubuhi katika ukumbi wa Bunge uliopo jijini Dar es Salaam katika chumba cha mikutano kulikuwa na kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-1Af6LhTCLeI/VFibSORnDcI/AAAAAAAGvYs/2HbVEFtpExk/s72-c/TPDC%2B(1).jpg)
KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATOLEWA RUMANDE
![](http://1.bp.blogspot.com/-1Af6LhTCLeI/VFibSORnDcI/AAAAAAAGvYs/2HbVEFtpExk/s1600/TPDC%2B(1).jpg)
Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael Mwanda waachiwa wakisubili uamuzi wa kamati ya mahesabu ya Bunge baada ya kuwekwa rumande siku ya jana kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati iliagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATUPWA RUMANDE
10 years ago
Michuzi03 Nov
Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.
Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata...
10 years ago
Michuzi02 Sep
10 years ago
Michuzi15 Sep
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/0Xtn-DEkIBA/default.jpg)
10 years ago
Michuzi25 Dec
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ipuMIaaNf1A/VJW-5Bbv6YI/AAAAAAAG4wA/E-Xep4IVtn4/s72-c/image061.jpg)
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LINATOA TAHADHARI WAKATI WA UCHAGUZI WA MARUDIO, SERIKALI ZA MITAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ipuMIaaNf1A/VJW-5Bbv6YI/AAAAAAAG4wA/E-Xep4IVtn4/s1600/image061.jpg)
Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zDxY1z3vIPw/Uyc1xvgosTI/AAAAAAAFUO8/LNeVhw9jGsY/s72-c/SelemanKova.jpg)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu
![](http://4.bp.blogspot.com/-zDxY1z3vIPw/Uyc1xvgosTI/AAAAAAAFUO8/LNeVhw9jGsY/s1600/SelemanKova.jpg)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu. Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...