Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATOLEWA RUMANDE



Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael Mwanda waachiwa wakisubili uamuzi wa kamati ya mahesabu ya Bunge baada ya kuwekwa rumande siku ya jana kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati iliagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATUPWA RUMANDE

Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la  kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la  hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

 

10 years ago

Michuzi

Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ndani ya chumba cha habari cha Globu ya Jamii,kinaleleza kuwa kaimu Mkurugenzi wa TPDC,Bwa.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Bwa.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la  hesabu za mashirika ya umma PAC,kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.
Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR LAWAACHIA HURU MWENYEKITI WA BODI YA TPDC NA KAIMU MKURUGENZI MKUU

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri  ufafanuzi wa Bunge kutokana na tuhuma zinazowakabili. Awali, jana tarehe 03/10/2014 saa tano asubuhi katika ukumbi wa Bunge uliopo jijini Dar es Salaam katika chumba cha mikutano kulikuwa na kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu...

 

10 years ago

Michuzi

UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa mamlaka aliyopewa chini  ya kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya Sheria za Tanzania), amemteua Mhe. Anna  Margareth Abdallah (MB) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho. 
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu  cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009  (Sura ya 203 ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa kitongoji aswekwa rumande

MWENYEKITI wa Kijiji cha Chonde, wilayani Bahi, Dodoma, Daud Nhiti, amelazimika kuagiza uongozi wa kijiji hicho kumweka mahabusu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ng’ambo, Zebedayo Hemezi kwa tuhuma za kutohudhuria katika...

 

10 years ago

Mwananchi

JK ateua mkurugenzi TPDC

Rais Jakaya Kikwete amemteua Dk James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa gesi ‘waikuna’ Bodi Wakurugenzi TPDC

BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), imeridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa miundombinu ya gesi asilia ambayo imekamilika kwa asilimia 95.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani