Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti wa kitongoji aswekwa rumande

MWENYEKITI wa Kijiji cha Chonde, wilayani Bahi, Dodoma, Daud Nhiti, amelazimika kuagiza uongozi wa kijiji hicho kumweka mahabusu Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ng’ambo, Zebedayo Hemezi kwa tuhuma za kutohudhuria katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATOLEWA RUMANDE



Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael Mwanda waachiwa wakisubili uamuzi wa kamati ya mahesabu ya Bunge baada ya kuwekwa rumande siku ya jana kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati iliagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

 

10 years ago

GPL

KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATUPWA RUMANDE

Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la  kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la  hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

 

10 years ago

Michuzi

Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ndani ya chumba cha habari cha Globu ya Jamii,kinaleleza kuwa kaimu Mkurugenzi wa TPDC,Bwa.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Bwa.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la  hesabu za mashirika ya umma PAC,kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.
Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kitongoji kilichojivunia kukaribisha Papa

Papa Francis alikamilisha ziara yake leo hii nchini Kenya, lakini siku yote ameangazia umaskini na kuwathamini vijana.

 

5 years ago

Michuzi

DC KASESELA:AHAMISHA KITONGOJI CHA MBINGAMA TARAFA YA PAWAGA.


Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wananchi wa kijiji cha Isele kitongoji cha Mbingama kilichopo katika tarafa ya Pawaga akiongea nao mara baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na kunyesha kwa mvua nyingi mwaka huu
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wananchi wa kijiji cha Isele kitongoji cha Mbingama kilichopo katika tarafa ya Pawaga akiongea nao mara baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na kunyesha kwa mvua nyingi mwaka huu



NA FREDY...

 

11 years ago

Michuzi

Manispaa ya Kinondoni Kujenga Daraja litakalounganisha Mabwepande na Kitongoji cha Kikwete Visheni

Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (katikati) akisaini mkataba wa Ujenzi wa daraja la Mabwepande kwenda Kitongoji cha Kikwete Vision Mji Mpya na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika la Ujenzi la Mzinga na Diwani wa Kata ya Mabwepande,Clement Boko (kushoto) huku wadau wakishuhudia.Sherehe ya kusaini ilifanyika eneo la ujenzi.  Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (pili kulia) wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini ya ujenzi wa Daraja na Meja...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA WA MATIBABU KWA NDUGU SELEMANI RASHIDI MKAZI WA KITONGOJI CHA LUGONGONI (A) NGURUKA MKOA WA KIGOMA

Selemani Rashidi (kushoto), akiwa na mama yake mzazi pichani, ambaye alisimulia mkasa mzima wa mwanaye, alizaliwa akiwa mzima na baada ya kuzaliwa alipatwa na matatizo ya ugonjwa wa Degedege na alimpeleka kwa mganga wa kienyeji na kupona matatizo hayo na ndipo kikaota kipele kichwani cheusi na kikawa kinakuwa na kushikana na sikio, kutokuwa na uwezo wa kipesa hakuweza mpeleka popote, Baba yake yapata Miaka kumi na tano toka afariki na ukizingatia ni pesa inayo hitajika, hayo yalisemwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani