MAKOSA YA JINAI KIPAUMBELE NA JESHI LA POLISI
Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai,(CP) Diwani Athuman akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Wizara ya mambo ya Ndani juu ya Operesheni usalama imetokana na maamuzi yaliyofikiwa kwenye mikutano ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kati ya Nchi za Kusini mwa Afrika na Mashariki mwa Afrika waliokutana chini ya mwavuli wa (SARPCCO) na (EAPCCO) uliofanyika Johanesburg nchini Afrika Kusini.
Baadhi ya waandishi wa habari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8uP3QuvEEOw/VVICTQmhiFI/AAAAAAAHW2U/DvrwQjt4GpE/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai
![](http://1.bp.blogspot.com/-8uP3QuvEEOw/VVICTQmhiFI/AAAAAAAHW2U/DvrwQjt4GpE/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
Dewji Blog15 May
Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Polisi hawarekodi makosa ya jinai UK
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
ICC: IS imetenda makosa ya jinai
11 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAWASHIKILIA WATU AROBAINI NA TANO KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linashikilia arobaini na tano kwa makosa mbalimbali ya uhalifu katika msako wa wahalifu uliofanyika tarehe kati ya tarehe 27/02/2014 hadi 01/03/2014.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David A. Misime - SACP amesema tarehe 27/02/2014 walikamatwa jumla a watuhumiwa 42 kwa makosa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-96jTqVgHRJE/Xk6WRGToaNI/AAAAAAALejI/nwqFa5wQkwgVJ0MSWmn7SoAPfkfbSDOYwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-20%2Bat%2B3.00.08%2BPM.jpeg)
Rais wa PSG ahusishwa na makosa ya jinai
![](https://1.bp.blogspot.com/-96jTqVgHRJE/Xk6WRGToaNI/AAAAAAALejI/nwqFa5wQkwgVJ0MSWmn7SoAPfkfbSDOYwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-20%2Bat%2B3.00.08%2BPM.jpeg)
Yassir Simba , Michuzi tvRAIS wa klabu ya Paris Saint German (PSG) Nasser Al Khelaifi amehusishwa na makosa ya jinai nchini Swirzerland dhidi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Dunia FIFA Jerome Valcke.
Kupitia mtandao wa habari za kimichezo goal.com umesema taarifa iliyotoka katika ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Nchini Switzerland imedai kwamba raisi huyo wa klabu ya PSG alimpatia rushwa ya kiasi cha fedha euro million 1.25...
11 years ago
GPLSIKU YA MAKOSA MAKUBWA YA JINAI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog13 May
Rais Kikwete amteua Diwani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya (pichani), kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-x5I_yby-kT4/VIwyElo2ypI/AAAAAAAG2-g/WJsssf_kzYE/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
TANZANIA YAISHAURI MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA MAKOSA YA JINAI (ICC) KUBORESHA UHUSIANO WAKE NA BARA LA AFRIKA