Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA MAKOSA MAKUBWA YA JINAI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR

Mkurugenzi mtendaji wa chama cha elimu kwa watoto (CHESO)  Richard Shilamba, akihutubia katika hafla hiyo. Wajumbe wakifuatilia semina kwa umakini.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SIKU YA SIKOSELI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi(mwenyesuti ya bluu), akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kliniki mpya ya watu waishio na seli mundu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Seli Mundu Duniani, Muhimbili Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Profesa Eligius Lyamuya na Mkurugenzi wa Tiba Muhimbili,  Dk. Hedinga Swai na kutoka kushoto ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Maandamano  yakiongozwa na bendi ya jeshi la polisi Baadhi ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishw  jijini Dar es Salaam. Mashirika mbalimbali  ya mataifa yanayofanya shughuli za vijana ni kamaUNFPA, IYF, UNIC, ILO, RESTLESS DEVELOPMENT, YUNA, AMREF, MARIE STOPES, pamoja na PSI.(Picha zote na Geofrey Adroph)  Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,...

 

10 years ago

GPL

SIKU YA WAJANE DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Jinsia Wanawake na Watoto, Anna Maembe  akihojiwa na wanahabri baada ya maadhimisho kumalizika. Baadhi ya sehemu walipokaa akina mama waliohudhuria maadhimisho hayo katika Viwanja vya Mashujaa Mnazi Mmoja.…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA MANDELA KIMATAIFA YAADHIMISHWA KWA WALEMAVU DAR

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu,  akikusanya manyasi na mwanafunzi  mwenye ulemavu wa akili. Watoto wenye ulemavu wa akili wakicheza muziki na…

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANA JIJINI DAR LEO

 Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Mary's ya Mazinde Juu iliyopo mkoani Tanga wameibuka vinara wa shindano la uandishi wa barua lililoshirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali nchini katika kuadhimisha siku ya posta duniani.

Shindano hilo la uandishi wa barua  limeratibiwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na umoja wa posta duniani.
Akizungumza  Dar es saalam leo katika hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya posta duniani, Mkurugenzi Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani  na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa  Dar es Salaam leo asubuhi  yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).… ...

 

10 years ago

Michuzi

NIC YASHIRIKI MATEMBEZI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, JIJINI DAR

Baadhi ya washiriki wa Matembezi ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani wakiwemo Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya matembezi yao hayo yaliyoanzia na kumalizikia katika hoteli ya Ledger iliyopo Bahari beach kupiti Kunduchi Beach Jijini Dar es Salaam jana.Washiriki wa Matembezi hayo wakiwa tayari kwa Matembezi.Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Mwanaidi Shemweta (kushoto) akiwa na baadhi ya watoto wa Kituo...

 

9 years ago

Michuzi

Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa TCRA jijini Dar es Salaam leo

Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa leo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, kesho. jijini.   Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani