SIKU YA SIKOSELI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi(mwenyesuti ya bluu), akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kliniki mpya ya watu waishio na seli mundu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Seli Mundu Duniani, Muhimbili Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Profesa Eligius Lyamuya na Mkurugenzi wa Tiba Muhimbili, Dk. Hedinga Swai na kutoka kushoto ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSIKU YA MAKOSA MAKUBWA YA JINAI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboSIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziSiku ya Posta Duniani kuadhimishwa TCRA jijini Dar es Salaam leo
11 years ago
Michuzi.jpg)
SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA DUNIANI ZAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...
10 years ago
GPLSIKU YA WAJANE DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI
11 years ago
Michuzi.jpg)
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika leo jijini Dar es salaam.
.jpg)
.jpg)
11 years ago
MichuziMSD YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA SIKU YA MALARIA DUNIANI KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM LEO