Ofisa afya mbaroni kwa uchafu
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Zelothe Stephen ameamuru kutiwa mbaroni Ofisa Afya wa Kata ya Mkendo, Desideri Rwegoshora kwa kushindwa kusimamia usafi katika maeneo ya kata yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Sep
Mbaroni kwa kujifanya ofisa usalama
MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Gunner Meena (40), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa.
10 years ago
Uhuru Newspaper02 Sep
Mbaroni kwa kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Kinyerezi, Dar es Salaam, Saimon Meena, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa.
Hatua hiyo ya Meena (40), ililenga kumwezesha kufanya utapeli ili kujipatia sh. milioni 25 kutoka kwa mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Somalia.
Meena, maarufu kwa jina la Gunner, anadaiwa kuwatisha baadhi ya wafanyabiashara jijini Dar es Saalam kuwa wanahusika na matukio ya kigaidi hivyo kuhatarisha usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamishna wa...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Mchuuzi mbaroni akijidai ofisa TFDA
MFANYABIASHARA wa matunda katika miji ya Tarime, Shinyanga na Mwanza, Paulo Alex Mwela (35), mkazi wa Nyamwaga, Tarime, ametiwa mbaroni mjini hapa akidaiwa kukutwa akifanya upekuzi na ukaguzi wa maduka yanayouza vipodozi na kuyafunga akijitambulisha ni Ofisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA).
9 years ago
Habarileo09 Dec
Katibu afya Singida mbaroni kwa wizi
POLISI mkoani Singida inamshikilia Katibu wa Afya wa Wilaya ya Mkalama, James Ndimbo kwa tuhuma ya wizi wa Sh milioni sita akiwa mtumishi wa umma.
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Uchafu UBT wahatarisha afya za abiria
BAADHI ya abiria wanaotumia Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), wamesema afya zao ziko hatarini kwa kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kusambaa kinyesi kituoni hapo. Wakizungumza kwa nyakati...
10 years ago
MichuziMAMIA YA WAUGUZI DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MIKOA WAJITOKEZA KUMUAGA OFISA MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MAREHEMU CLAVERY MPANDANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL3qYMvlS3AP0hXCEIL-jYIx5W8SyxevECRpB1pyfZMuzjFZpTahjboIev5DgCLVQgC1imggPzrm*OY9O*FNQy1*/JIDE.jpg?width=650)
MAJIRANI WAMLALAMIKIA JIDE KWA UCHAFU
11 years ago
Habarileo29 May
Bilioni 301/- zapotea kwa uchafu wa mazingira
TANZANIA inapoteza jumla ya shilingi bilioni 301 kila mwaka kama gharama ya kukabiliana na madhara ya uchafu wa mazingira.
11 years ago
Mwananchi17 Dec
TFDA yafunga machinjio kwa uchafu Mbeya