Mchuuzi mbaroni akijidai ofisa TFDA
MFANYABIASHARA wa matunda katika miji ya Tarime, Shinyanga na Mwanza, Paulo Alex Mwela (35), mkazi wa Nyamwaga, Tarime, ametiwa mbaroni mjini hapa akidaiwa kukutwa akifanya upekuzi na ukaguzi wa maduka yanayouza vipodozi na kuyafunga akijitambulisha ni Ofisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA).
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Ofisa afya mbaroni kwa uchafu
11 years ago
Habarileo03 Sep
Mbaroni kwa kujifanya ofisa usalama
MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Gunner Meena (40), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa.
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Sep
Mbaroni kwa kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Kinyerezi, Dar es Salaam, Saimon Meena, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa.
Hatua hiyo ya Meena (40), ililenga kumwezesha kufanya utapeli ili kujipatia sh. milioni 25 kutoka kwa mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Somalia.
Meena, maarufu kwa jina la Gunner, anadaiwa kuwatisha baadhi ya wafanyabiashara jijini Dar es Saalam kuwa wanahusika na matukio ya kigaidi hivyo kuhatarisha usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamishna wa...
10 years ago
GPLMCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST
11 years ago
Uhuru Newspaper
Ofisa NMB kizimbani
Yeye na wenzake washitakiwa kwa makosa 13Yamo ya kuiba bil. 1/-, kutakatisha fedha haramu
NA FURAHA OMARY
WATU watatu, akiwemo mtumishi wa Benki ya NMB, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka 13, yakiwemo ya kuiibia benki hiyo zaidi ya sh. bilioni moja na kutakatisha fedha haramu.
Mtumishi wa benki hiyo, Mtoro Suleiman, Daudi Kindamba na John Kikopa, walisomewa mashitaka hayo jana na Wakili wa Serikali Pius Hilla, mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Hilla...
10 years ago
Habarileo05 Mar
Majambazi waua ofisa mtendaji
OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Mpona kata ya Totowe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Bahati Mwanguku (38) ameuawa na majambazi wawili wenye mapanga kisha kuporwa pikipiki na simu ya kiganjani.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Wafanyabiashara wamkataa ofisa misitu
WAFANYABIASHARA wa mazao ya misitu wilayani Kisarawe, Pwani wameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Misitu Nchini (TFS) kumwondoa ofisa wake, Mathew Mwanuo na kuwaletea mwingine. Mwanuo anatuhumiwa...
11 years ago
Habarileo20 May
Ofisa NHIF apandishwa kizimbani
OFISA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Godius Masilango, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh milioni 51.
11 years ago
Habarileo06 Jun
Ofisa Masoko akidaiwa kuiba 69.8m/-
OFISA Masoko wa Kampuni ya NN General Supplies Simon Lyatuu (47) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 69.8.