Majambazi waua ofisa mtendaji
OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Mpona kata ya Totowe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Bahati Mwanguku (38) ameuawa na majambazi wawili wenye mapanga kisha kuporwa pikipiki na simu ya kiganjani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
CHADEMA yamuweka kitimoto Ofisa Mtendaji
WAKATI kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani zikiwa zimeanza rasmi jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemuweka chini ya ulinzi Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nyasura, Wilaya ya Bunda...
10 years ago
Mwananchi05 May
NMG yapata ofisa mtendaji mkuu mpya
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
DC aagiza ofisa mtendaji, mwalimu mkuu waadhibiwe
Na Clarence Chilumba, Mtwara
MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile, ameuagiza uongozi wa halmashauri hiyo, kutoa adhabu kali kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mayanga, kwa kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.
Pia ameagiza watendaji hao kushushwa vyeo kutoka Ofisa Mtendaji wa Kata hadi Mtendaji wa Kijiji, ambapo kwa upande wa Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Mayanga, kwa sasa anatakiwa kuwa mwalimu wa kawaida.
Aidha, ametoa angalizo kwa...
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Ofisa mtendaji kata aahirisha kesi ya Nassari Arumeru
10 years ago
Habarileo30 Jun
Ofisa Mtendaji atupwa mahabusu kwa kutafuna fedha za shule
MKURUGENZI wa halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Rustika Turuka amemweka mahabusu Ofisa Mtendaji Kata ya Kining’inila John Maduhu, kwa tuhuma za kutafuna Sh milioni 21 za ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari Kining’inila.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Majambazi waua, wapora
WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wanatuhumiwa kumwua mtu mwenye umri kati ya miaka 35 na 40 ambaye jina lake halikuweza kufahamika na kumjeruhi mwingine. Tukio hilo lilifanyika kwenye maduka yaliyopo kwenye Stendi Kuu ya Maili Moja wilayani Kibaha, jirani na kituo cha Polisi baada ya watu hao kufanya tukio la uhalifu.
11 years ago
Habarileo02 Jun
Majambazi waua, wapora Sh milioni 20
WATU wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha aina ya Short gun wamepora kiasi cha Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change na kumpiga risasi mtu mmoja na kufa papo hapo.
11 years ago
Habarileo12 Aug
Wananchi waua majambazi wanne
WATU wanne, watatu wakidaiwa kuwa Wakenya, wanaotuhumiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi mjini hapa.
10 years ago
Habarileo01 Dec
Majambazi waua, wapora mil 4/-
MKULIMA aliyeshambuliwa na kundi la majambazi na kuporwa zaidi ya Sh milioni 4 za Tanzania na Sh 37,00O za Kenya amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya Misheni Masanga.