Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC aagiza ofisa mtendaji, mwalimu mkuu waadhibiwe


Na Clarence Chilumba, Mtwara
MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile, ameuagiza uongozi wa halmashauri hiyo, kutoa adhabu kali kwa Ofisa  Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari  ya Mayanga, kwa kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.
Pia ameagiza watendaji hao kushushwa vyeo kutoka Ofisa Mtendaji wa Kata hadi Mtendaji wa Kijiji, ambapo kwa upande wa Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Mayanga, kwa sasa anatakiwa kuwa mwalimu wa kawaida.
Aidha, ametoa angalizo  kwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NMG yapata ofisa mtendaji mkuu mpya

Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Nation Media Group (NMG) imemtangaza Joseph Muganda kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu mpya atakayeshika hatamu ya uongozi wa kampuni hiyo kuanzia Julai Mosi mwaka huu.

 

9 years ago

Vijimambo

OFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AAGA RASMI MUWSA.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,( MUWSA ) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco,Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Patrick Kibasa ,karatasi zenye ndoto za wafanyakazi wa Mamlaka hiyo hukuakimtaka kuzifanyia kazi.Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.Ofisa...

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua ofisa mtendaji

OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Mpona kata ya Totowe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Bahati Mwanguku (38) ameuawa na majambazi wawili wenye mapanga kisha kuporwa pikipiki na simu ya kiganjani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yamuweka kitimoto Ofisa Mtendaji

WAKATI kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani zikiwa zimeanza rasmi jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemuweka chini ya ulinzi Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nyasura, Wilaya ya Bunda...

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa mtendaji kata aahirisha kesi ya Nassari Arumeru

Kesi ya kuchoma moto bendera ya CCM inayomkabili Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari jana iliahirishwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Maji ya Chai, Ndikilo Mbise kutokana na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai, David Mwita kuwa safarini.

 

10 years ago

Habarileo

Ofisa Mtendaji atupwa mahabusu kwa kutafuna fedha za shule

MKURUGENZI wa halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Rustika Turuka amemweka mahabusu Ofisa Mtendaji Kata ya Kining’inila John Maduhu, kwa tuhuma za kutafuna Sh milioni 21 za ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari Kining’inila.

 

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Mwalimu ajinyonga, mtendaji agongwa na kufariki papo hapo

>Watu wawili wamekufa mkoani Mara katika matukio mawili tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

Meneja mkuu, Ofisa mwajiri Urafiki wasimamishwa kazi

Serikali imewasimamisha kazi Meneja Mkuu wa kiwanda cha Urafiki, Nassoro Baraza na ofisa mwajiri wa kiwanda hicho, Moses Swai, kwa kushindwa kusimamia madai ya wafanyakazi, hali iliyosababisha kukosekana kwa amani na utulivu  kiwandani hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani