Meneja mkuu, Ofisa mwajiri Urafiki wasimamishwa kazi
Serikali imewasimamisha kazi Meneja Mkuu wa kiwanda cha Urafiki, Nassoro Baraza na ofisa mwajiri wa kiwanda hicho, Moses Swai, kwa kushindwa kusimamia madai ya wafanyakazi, hali iliyosababisha kukosekana kwa amani na utulivu kiwandani hapo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Meneja Kiwanda cha Urafiki asimamishwa kazi
MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imemsimamisha kazi Meneja wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki, Moses Swai kwa kukiuka maadili ya kazi na kushindwa kushughulikia matatizo ya wafanyakazi.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa baada ya wafanyakazi kugoma kupokea mapendekezo ya awali kati ya wawakilishi wa wafanyakazi, menejimenti na serikali.
Mapendekezo hayo yalihusu nyongeza ya mishahara yao na walitakiwa kuanza kulipwa Januari mwakani,...
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Watumishi wasimamishwa kazi Dodoma
Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imewasimamisha kazi maofisa biashara wawili wa Mkoa wa Dodoma kutokana na kuchelewesha utoaji wa leseni za biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka ofisi ya Rais (TAMISEMI), Rebbeca Kwandu, aliwataja waliosimamishwa kazi kuwa ni Elias Kamara na Donatila Vedasto.
“Agizo hili limetolewa na Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene baada ya...
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Sepp Blatter na Platini wasimamishwa kazi
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ufisadi:Majaji 7 wasimamishwa kazi Ghana
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Wakuu 60 wa afya wasimamishwa kazi Malawi
10 years ago
Habarileo03 Nov
Vigogo H/shauri Kilolo wasimamishwa kazi
HALMASHAURI ya wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa imewasimamisha kazi kwa muda usiojulikana, vigogo wake wanne ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazoelekezwa dhidi yao.
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waalimu 100 Kenya wasimamishwa kazi