Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meneja Kiwanda cha Urafiki asimamishwa kazi

IMG_0955MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM

SERIKALI imemsimamisha kazi Meneja wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki, Moses Swai kwa kukiuka maadili ya kazi   na kushindwa kushughulikia matatizo ya wafanyakazi.

Uamuzi huo ulitolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa baada ya wafanyakazi kugoma kupokea mapendekezo ya awali kati ya wawakilishi wa wafanyakazi, menejimenti na serikali.

Mapendekezo hayo yalihusu nyongeza ya mishahara yao na walitakiwa kuanza kulipwa Januari mwakani,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Meneja mkuu, Ofisa mwajiri Urafiki wasimamishwa kazi

Serikali imewasimamisha kazi Meneja Mkuu wa kiwanda cha Urafiki, Nassoro Baraza na ofisa mwajiri wa kiwanda hicho, Moses Swai, kwa kushindwa kusimamia madai ya wafanyakazi, hali iliyosababisha kukosekana kwa amani na utulivu  kiwandani hapo.

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yafunga Kiwanda cha Urafiki

makondaMAULI MUYENJWA NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

SERIKALI imekifunga Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kutokana na mgomo wa wafanyakazi uliotokea jana wakiutaka uongozi kuwalipa malimbikizo ya madai yao ikiwamo mishahara.

Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Paul Makonda, alitangaza kukifunga kiwanda hicho hadi Desemba 7 mwaka huu yatakapotolewa majibu ya kuridhisha kuhusu changamoto zilizosababisha mgomo huo.

Mgomo katika kiwanda hicho ulianza wiki kadhaa zilizopita ambako mkuu huyo wa wilaya aliuagiza...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki Dar wagoma

Zaidi ya Wafanyakazi 1, 200 wa kiwanda cha Tanzania China-Friendships Co. Ltd (Urafiki) wameanza mgomo leo kushinikiza nyongeza ya mshahara na mazingira bora ya kazi.

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA URAFIKI

Bidhaa zinazouzwa katika moja ya eneo la kiwanda cha urafiki yaliyokodishwa na uongozi wa menejimenti ya kiwanda hicho unaolalamikiwa na wafanyakazi kwamba wanajipatia mapato kwenye maeneo ya kiwanda hicho huku wao wakiwalipa kiduchu.Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda, akiwasili na msafara wake kiwandani hapo kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi walio katika mgomo. Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki leo jijini Dar es Salaam.KWA...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI TRL ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA MALIPO KINYUME CHA MKATABA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa malipo ya Sh. Bilioni 230 ya mabehewa ya Mizigo yenye kasoro pamoja na kufanya malipo ya mabehewa yote kabla ya kukamilika.
Akitangaza maamuzi hayo ya kusimimishwa kwa Mkurugenzi huyo leo jijini Dar es Salaam baada ya ripoti ya kamati iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi (ambaye sasa ni Waziri wa Afrika Mashariki), Dk. Harrison...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KUCHENJUA NA KUTAKASA MADINI CHAANZA KAZI RASMI JIJINI DODOMA

 Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Eyes of Africa Ltd (EOA) Ferenc Molnar akionesha moja ya mtambo mkubwa na wakisasa wa kutakasa madini wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipotembelea kiwanda hicho jijini hapa mwishoni mwa wiki. Mtendaji Mwendeshaji wa kiwanda hicho, Prince Mugisha akionesha moja ya jarida (Catalogue) ya huduma zinazotolewa na EOA.Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Eyes of Africa Ltd (EOA), Ferenc Molnar akisisitiza jambo kwa wanahabari. Kulia kwake ni...

 

5 years ago

CCM Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani