MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA URAFIKI
Bidhaa zinazouzwa katika moja ya eneo la kiwanda cha urafiki yaliyokodishwa na uongozi wa menejimenti ya kiwanda hicho unaolalamikiwa na wafanyakazi kwamba wanajipatia mapato kwenye maeneo ya kiwanda hicho huku wao wakiwalipa kiduchu.
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda, akiwasili na msafara wake kiwandani hapo kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi walio katika mgomo.
Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Paul Makonda akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki leo jijini Dar es Salaam.KWA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki Dar wagoma
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MLEZI WAO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA RASIMU YA MKATABA WA MABORESHO YA MASLAHI YAO.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bcDBzAwLtz4/U8fodb2IkvI/AAAAAAAF3Fg/dGKIFifaX5A/s72-c/unnamed.jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana azindua rasmi utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi Wilaya ya Kinondoni
![](http://3.bp.blogspot.com/-bcDBzAwLtz4/U8fodb2IkvI/AAAAAAAF3Fg/dGKIFifaX5A/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XBuQl9DVg6E/U8foeFB_gCI/AAAAAAAF3Fk/Js-pE7P8knQ/s1600/unnamed+(1).jpg)
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Serikali yafunga Kiwanda cha Urafiki
MAULI MUYENJWA NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SERIKALI imekifunga Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kutokana na mgomo wa wafanyakazi uliotokea jana wakiutaka uongozi kuwalipa malimbikizo ya madai yao ikiwamo mishahara.
Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Paul Makonda, alitangaza kukifunga kiwanda hicho hadi Desemba 7 mwaka huu yatakapotolewa majibu ya kuridhisha kuhusu changamoto zilizosababisha mgomo huo.
Mgomo katika kiwanda hicho ulianza wiki kadhaa zilizopita ambako mkuu huyo wa wilaya aliuagiza...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Meneja Kiwanda cha Urafiki asimamishwa kazi
MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imemsimamisha kazi Meneja wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki, Moses Swai kwa kukiuka maadili ya kazi na kushindwa kushughulikia matatizo ya wafanyakazi.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa baada ya wafanyakazi kugoma kupokea mapendekezo ya awali kati ya wawakilishi wa wafanyakazi, menejimenti na serikali.
Mapendekezo hayo yalihusu nyongeza ya mishahara yao na walitakiwa kuanza kulipwa Januari mwakani,...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZINDUA MPANGO WA KUWAINUA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SANAA UJULIKANAO KINONDONI TALENT SEARCH
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
9 years ago
StarTV10 Nov
Mkuu wa wilaya wa Kinondoni asifia utendaji  wa Polisi katika uchaguzi mkuu.
Jeshi la Polisi Tanzania limepongezwa kwa kazi nzuri ya ulinzi wa raia na mali zao hususani katika kipindi cha kampeni za uchaguzi hadi kupiga kura.
Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya hiyo, Paul Makonda katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya polisi Oysterbay Kinondoni Jijini Dar es salaam.
Mkuu huyo wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema askari wa jeshi la Polisi nchini, wanafanya kazi katika...
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYA YA KINONDONI MKUU WA WILAYA ATANGAZA AJIRA YA PAPO KWA PAPO