Wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki Dar wagoma
Zaidi ya Wafanyakazi 1, 200 wa kiwanda cha Tanzania China-Friendships Co. Ltd (Urafiki) wameanza mgomo leo kushinikiza nyongeza ya mshahara na mazingira bora ya kazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Jan
Wafanyakazi Kiwanda cha vyombo Cello Dar wagoma
Wafanyakazi zaidi ya mia moja wa Kiwanda cha Cello kilichopo Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamelazimika kufanya mgomo kushinikiza Wakala wa kiwanda hicho anayehusika na kuwalipa mshahara, kutatua kero zao.
Baadhi ya mambo wanayoyalalamikia wafanyakazi hao ni pamoja na kukosa mikataba na malipo kidogo ya mshahara ambapo kwa siku hulipwa shilingi 3,800.
Kilio cha wafanyakazi hao wa Kiwanda cha Vyombo vya plastiki Cello, wamepaza sauti kutaka mambo yao ya msingi yafanyiwe kazi ikiwemo...
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA URAFIKI
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Serikali yafunga Kiwanda cha Urafiki
MAULI MUYENJWA NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SERIKALI imekifunga Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kutokana na mgomo wa wafanyakazi uliotokea jana wakiutaka uongozi kuwalipa malimbikizo ya madai yao ikiwamo mishahara.
Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Paul Makonda, alitangaza kukifunga kiwanda hicho hadi Desemba 7 mwaka huu yatakapotolewa majibu ya kuridhisha kuhusu changamoto zilizosababisha mgomo huo.
Mgomo katika kiwanda hicho ulianza wiki kadhaa zilizopita ambako mkuu huyo wa wilaya aliuagiza...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Meneja Kiwanda cha Urafiki asimamishwa kazi
MAULI MUYENJWA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imemsimamisha kazi Meneja wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki, Moses Swai kwa kukiuka maadili ya kazi na kushindwa kushughulikia matatizo ya wafanyakazi.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa baada ya wafanyakazi kugoma kupokea mapendekezo ya awali kati ya wawakilishi wa wafanyakazi, menejimenti na serikali.
Mapendekezo hayo yalihusu nyongeza ya mishahara yao na walitakiwa kuanza kulipwa Januari mwakani,...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-09nKsGzAzno/U2oXWqf-VyI/AAAAAAAFgHQ/d8WqnGsW9D8/s72-c/unnamedU.jpg)
DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA MGOLOLO (W) MUFINDI, IKULU DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-09nKsGzAzno/U2oXWqf-VyI/AAAAAAAFgHQ/d8WqnGsW9D8/s1600/unnamedU.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GWk_ENaygPA/U2oXWgYuR8I/AAAAAAAFgHM/emxu7spuAoI/s1600/unnamedI.jpg)
11 years ago
Dewji Blog07 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na kuzungumza na Viongozi wa CCM na wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo (W) Mufindi, Ikulu Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei7, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mufindi na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, waliofika...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0u_cBHlO8ow/VopPurE1sdI/AAAAAAAIQKU/SzWmEAAw-w0/s72-c/752.jpg)
WAFANYAKAZI 350 WA KIWANDA CHA SUKARI CHA MAHONDA WAKOHATARINI KUPOTEZA AJIRA ZAO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-0u_cBHlO8ow/VopPurE1sdI/AAAAAAAIQKU/SzWmEAAw-w0/s640/752.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7q6o6o_5yj8/VopPvB5jaYI/AAAAAAAIQKc/e9lpf3CrE3w/s640/756.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gTxbi81Ro3Y/VopPuWdz97I/AAAAAAAIQKY/QohqVle6QIU/s640/771.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Taswira ya Bonanza la wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku mkoani Morogoro