Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMG yapata ofisa mtendaji mkuu mpya

Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Nation Media Group (NMG) imemtangaza Joseph Muganda kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu mpya atakayeshika hatamu ya uongozi wa kampuni hiyo kuanzia Julai Mosi mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

DC aagiza ofisa mtendaji, mwalimu mkuu waadhibiwe


Na Clarence Chilumba, Mtwara
MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile, ameuagiza uongozi wa halmashauri hiyo, kutoa adhabu kali kwa Ofisa  Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari  ya Mayanga, kwa kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.
Pia ameagiza watendaji hao kushushwa vyeo kutoka Ofisa Mtendaji wa Kata hadi Mtendaji wa Kijiji, ambapo kwa upande wa Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Mayanga, kwa sasa anatakiwa kuwa mwalimu wa kawaida.
Aidha, ametoa angalizo  kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

OFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AAGA RASMI MUWSA.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,( MUWSA ) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco,Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Patrick Kibasa ,karatasi zenye ndoto za wafanyakazi wa Mamlaka hiyo hukuakimtaka kuzifanyia kazi.Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.Ofisa...

 

10 years ago

Habarileo

NMB yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NMB, Profesa Joseph SembojaBODI ya benki ya NMB imemtangaza Ineke Bussemaker kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Mark Wiessing kukubali nafasi mpya ndani ya benki ya Rabobank, kama mkuu wa benki hiyo upande wa Amerika Kusini na Mkurugenzi Mtendaji Brazil.

 

10 years ago

Bongo5

Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa Aisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Ooredoo Myanmar kuanzia mapema mwezi ujao. Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akiongea na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati […]

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA.

 Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotambulishwa rasmi na viongozi wa bodi ya benki hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein. Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotambulishwa rasmi na viongozi wa bodi ya benki hiyo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya NBC,...

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua ofisa mtendaji

OFISA Mtendaji wa Kijiji cha Mpona kata ya Totowe Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Bahati Mwanguku (38) ameuawa na majambazi wawili wenye mapanga kisha kuporwa pikipiki na simu ya kiganjani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yamuweka kitimoto Ofisa Mtendaji

WAKATI kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani zikiwa zimeanza rasmi jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemuweka chini ya ulinzi Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nyasura, Wilaya ya Bunda...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA/Vodacom Tanzania Announces New Managing Director

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Bw. Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Ooredoo Myanmar kuanzia mapema mwezi ujao. Bw. Ferrao kwa sasa hivi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Lesotho.Ana uzoefu mkubwa wa uongozi katika sekta ya mawasiliano katika nchi mbalimbali za Ulaya na Afrika.Kabla ya kjiunga na Vodacom Lesotho alikuwa Afisa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa mtendaji kata aahirisha kesi ya Nassari Arumeru

Kesi ya kuchoma moto bendera ya CCM inayomkabili Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari jana iliahirishwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Maji ya Chai, Ndikilo Mbise kutokana na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai, David Mwita kuwa safarini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani