VODACOM TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA/Vodacom Tanzania Announces New Managing Director
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Bw. Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Ooredoo Myanmar kuanzia mapema mwezi ujao. Bw. Ferrao kwa sasa hivi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Lesotho.Ana uzoefu mkubwa wa uongozi katika sekta ya mawasiliano katika nchi mbalimbali za Ulaya na Afrika.Kabla ya kjiunga na Vodacom Lesotho alikuwa Afisa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Aug
Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
10 years ago
MichuziBENKI YA NBC TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA.
11 years ago
Michuzi25 Mar
11 years ago
GPLMAHOJIANO KATI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA RENE MEZA NA MTANGAZAJI MAHIRI WA KIPINDI CHA BUSINESS EDITION YVONE MSEMEMBO
10 years ago
Habarileo13 Feb
NMB yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
BODI ya benki ya NMB imemtangaza Ineke Bussemaker kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Mark Wiessing kukubali nafasi mpya ndani ya benki ya Rabobank, kama mkuu wa benki hiyo upande wa Amerika Kusini na Mkurugenzi Mtendaji Brazil.
10 years ago
GPLTAARIFA YA MKURUENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA KUHUSU KUKOSEKANA KWA HUDUMA
10 years ago
Bongo516 Sep
Vodacom Tanzania yaanzisha huduma mpya ya ‘LIPA KWA M-PESA’
9 years ago
Press22 Oct
TANESCO’s Managing Director to address Tanzania’s leading investors at forum for power sector development this December
CAPE TOWN, South Africa, October 22, 2015/APO (African Press Organization)/ — As Tanzania’s leaders are praised for its peaceful handling of elections, an increasing number of projects are appearing which show case a country that is maturing, growing in confidence and cooperating with the right kind of partners to help it achieve its long term goal of becoming a regional hub.
The Powering Africa: Tanzania investment briefing will take place from 3-4 December at the Hyatt Regency Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Vodacom yaja na ‘Hello Tanzania’
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania imeanzisha promosheni mpya iliyopewa jina ‘Hello Tanzania’ ambayo inamuwezesha mteja kuzungumza bure kwa dakika moja. Akizungumza na Tanzania Daima juzi, Mkuu wa...