Vodacom yaja na ‘Hello Tanzania’
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania imeanzisha promosheni mpya iliyopewa jina ‘Hello Tanzania’ ambayo inamuwezesha mteja kuzungumza bure kwa dakika moja. Akizungumza na Tanzania Daima juzi, Mkuu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ykUfq3jp4dA/Vm_9UEBTaiI/AAAAAAAIMh8/-WxgIJuDyh0/s72-c/001.LIFE%2527S%2BBETTER.jpg)
VODACOM TANZANIA YAJA NA KAMPENI YA"LIFE IS BETTER"
![](http://4.bp.blogspot.com/-ykUfq3jp4dA/Vm_9UEBTaiI/AAAAAAAIMh8/-WxgIJuDyh0/s640/001.LIFE%2527S%2BBETTER.jpg)
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Vodacom Tanzania yaja na kampeni ya ‘life is better’
![](http://4.bp.blogspot.com/-ykUfq3jp4dA/Vm_9UEBTaiI/AAAAAAAIMh8/-WxgIJuDyh0/s640/001.LIFE%2527S%2BBETTER.jpg)
10 years ago
Michuzi27 Aug
Vodacom Tanzania yaja na Fistula Ice Bucket Challenge
Kampuni ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula. Hii ni kufuatia kampeni inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama #ALSIceBucketChallenge ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya 30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa #BongoIce.
Mkurugenzi wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni...
Mkurugenzi wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Vodacom yaja na ‘Uhuru wa Kweli’
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua huduma ya intaneti isiyo na kikomo kwa wateja wake wote bila kujali aina gani ya simu wanazotumia. Huduma hiyo iliyopewa jina...
11 years ago
GPLVODACOM YAJA NA HUDUMA YA ZOGO
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya'Zogo' ambayo itawawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom kupiga simu ndani na nje ya mtandao na kujipatia vifurushi kwa gharama nafuu.Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,akifafanua jambo wakati akitangaza huduma mpya ya 'Zogo' inayoyawezesha wateja wa mtandao wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jNrZ7iSqItbAXO8zYdSsF9hKnaTz8E8PxI4a9QaeTla1VWZHu3TJSuUJWgg8FKmr2lxUhGiCne37AQxCebJPdbyK0yhEcm*l/001.VINJARI.jpg?width=650)
VODACOM YAJA NA HUDUMA YA VINJARI NA M-PESA
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Vinjari na M PESA itakayowawezesha wateja wa mtandao huo kufanya malipo ya huduma katika sekta ya usafiri wa anga,mahoteli na utalii kwa njia ya kieletroniki huduma hiyo inapatikana kupitia tovuti ya vinjari,Wengine katika picha maafisa waandamizi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zq4OuGuA3Oo/VGnUogUPR_I/AAAAAAAGxxw/Tp9bPnVGcvk/s72-c/unnamed%2B(52).jpg)
Vodacom yaja na promosheni ya “shinda na kabumbu”
Wadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla wameletewa Promosheni mpya na ya aina yake iliyozinduliwa jana na kampuni hiyo ambapo imewalenga wapenzi wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki katika Promosheni ya “SHINDA NA KAMBUMBU”
Promosheni hii ambayo itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo itawafanya wapenzi wa soka kuchemsha bongo kujibu maswali mbalimbali kuhusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi...
Promosheni hii ambayo itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia leo itawafanya wapenzi wa soka kuchemsha bongo kujibu maswali mbalimbali kuhusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1nIXy12uAVM/VCfiAza2-GI/AAAAAAAGmRg/3rfXs1IYHqM/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Vodacom yaja na simu ya Vodafone Smart Kicka
![](http://4.bp.blogspot.com/-1nIXy12uAVM/VCfiAza2-GI/AAAAAAAGmRg/3rfXs1IYHqM/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_6K_ENLKna8/VCfiBCycsLI/AAAAAAAGmRk/y1dH_5RuVY0/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq*gWSoiFCqjvgeWSyMcHZy9laMw06s2z-e3Mu9Fsbq9-7w5rzLSWnV1XQuFmFP38wdOneFpydaomf3KrtpFRJni/001.KABUMBU.jpg)
VODACOM YAJA NA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU”
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akiongea  na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya â€SHINDA NA KABUMBUâ€inayolenga kuwawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo kushiriki kwa kutuma neno SOKA kwenda namba 15725 ambapo mteja atakuwa akiulizwa maswali mbalimbali kwa njia ya ujumbe kuhusiana na maswala ya soka na kuweza kujishindia fedha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania