Vodacom yaja na simu ya Vodafone Smart Kicka
![](http://4.bp.blogspot.com/-1nIXy12uAVM/VCfiAza2-GI/AAAAAAAGmRg/3rfXs1IYHqM/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kushoto)akielezea kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)uwezo wa simu mpya aina ya Vodafone Smart Kicka katika matumizi ya mitandao ya kijamii ya Youtube,Twitter,Facebook na whatsup. Simu hizo huuzwa kwenye maduka ya Vodacom kwa bei ya Sh 79,999 zikiwa na ofa ya 3G na SMS 1,200 kwa muda wa miezi sita.Kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycReQQmY3YK3Yj7NtkRBxGkRUmemU8n005KbKVH5o7fezhp4DWwwkjGviQAmmlwEAnrE4Q1eQ9-c72xN6RTNBZE4/1001.LIGI.jpg?width=650)
VODAFONE SMART KICKA INAPATIKANA KWA SH.79,999 KWA MADUKA YA VODACOM TU
10 years ago
Michuzi28 Jun
Smart Gulio. Soko Jipya la Simu na tablets Tanzania kwa njia ya Mtandao, Uza na Nunua kifaa Cha smart Buree
5 years ago
Quartz Africa10 Apr
Safaricom, Vodacom buy Vodafone's M-Pesa stake
5 years ago
Reuters06 Apr
Safaricom, Vodacom finalise M-Pesa acquisition from Britain's Vodafone
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
MAZUA Smart Shavers yaja na muonekano mpya
Muonekano mpya wa nje wa MAZUA Smart Shavers iliyopo maeneo ya KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi).
Haya sasa kwa wakazi wa UBUNGO,,,,,,,KIMARA,,,,,,,MBEZI LUIS,,,,,,,,KIBAMBA,,,,,,,,,,KIBAHA na maeneo mengine yoote ya jiji la Dar es Salaam….sasa hakuna haja tena ya kuhangaika na foleni kwenda mjini kunyolewa ama KUPAMBA MAHARUSI wa kiume, Sasa mmesogezewa huduma nyumbani……ni MAZUA SMART SHAVERS✔️ iliyokuja na muonekano mpya inapatikana eneo la KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi) ukiwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-k_AldtV7yQo/VidYgqyr5xI/AAAAAAAIBdA/n5HTYAf7ky0/s72-c/001.SMART%2B6.jpg)
WANANCHI CHANGAMKIENI SMART 6 MPYA YA VODACOM
Akiongea wakati wa uzinduzi wa simu hii Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Kelvin Twissa amesema kuwa simu hii imelenga wateja wake wenye vipato vya kawaida ili kuwawezesha kufurahia huduma za kisasa za matumizi ya...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ann-lp8tGEmIpgJnA9Z7Pq4b0445NMDgPO6ARkSzZSw9fZygJyXr4c903jxbf5dDUaf6g1quTMn3yRthhS-MmZduAD7LnHZx/002.SMART61.jpg?width=650)
WANANCHI CHANGAMKIENI SMART 6 MPYA YA VODACOM
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Vodacom yaja na ‘Hello Tanzania’
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania imeanzisha promosheni mpya iliyopewa jina ‘Hello Tanzania’ ambayo inamuwezesha mteja kuzungumza bure kwa dakika moja. Akizungumza na Tanzania Daima juzi, Mkuu wa...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Vodacom yaja na ‘Uhuru wa Kweli’
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua huduma ya intaneti isiyo na kikomo kwa wateja wake wote bila kujali aina gani ya simu wanazotumia. Huduma hiyo iliyopewa jina...