Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Smart Gulio. Soko Jipya la Simu na tablets Tanzania kwa njia ya Mtandao, Uza na Nunua kifaa Cha smart Buree

Contact: +2550719786099Email: info@smartgulio.tkUza,Nunua- Smart Phone,Tablets,Smart Watches, Head Phones, memory cards, tablets na kifaa kingine Kwenye SMART GULIOKwa taarifa zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A NAME iliofanyika hivi karibuni.  Pichani kati ni Balozi wa Kampuni hiyo ya simu iliyozinduliwa leo jijini Dar,Msanii wa maigizo ya vichekesho atambulikae kwa jina la Hemed Maliyaga a.k.a Mkwere Orijini akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Smart Telecom,Afrika Mashariki,Abdullatif Bouziani (shoto)...

 

5 years ago

Michuzi

TECNO yaja kivingine, kuzindua simu mpya CAMON 15 kwa njia ya mtandao Tanzania

KAMPUNI ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuandika historia Tanzania kwa kuzindua simu yake mpya ya CAMON15 Aprili 15 mwaka huu kwa kutumia mitandao ya kijamii yaani ‘Online Launch’.Akizungumzia kuhusu uzinduzi huo katika ofisi za TECNO jiijini Dar es Salaam leo afisa masoko wa TECNO mtandaoni, Salma Shafi amesema hii ni fursa kwa kampuni hiyo kuwasiliana na wateja wake na Watanzania wote kwa ujumla kupitia teknolojia ya intanteti.
“Hii sio tu nafasi nzuri kwa TECNO kuwasiliana na wateja...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaja na simu ya Vodafone Smart Kicka

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kushoto)akielezea kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)uwezo wa simu mpya aina ya Vodafone Smart Kicka katika matumizi ya mitandao ya kijamii ya Youtube,Twitter,Facebook na whatsup. Simu hizo huuzwa kwenye maduka ya Vodacom kwa bei ya Sh 79,999 zikiwa na ofa ya 3G na SMS 1,200 kwa muda wa miezi sita.Kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga...

 

10 years ago

Michuzi

UNUNUAJI NA UUZAJI WA BIDHAA UMERAHISISHWA — KAMPUNI YA MASOKO KWA NJIA YA MTANDAO YAZINDUA “APP” YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA


Mchakato wa uuzaji na ununuaji wa bidhaa umerahisishwa sana kwa kadri waendashaji wa makampuni ya biashara kwa njia ya intaneti wanavyozidi kuwa wabunifu na wagunduzi zaidi.

Kaymu Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao imejitanua zaidi baada ya kuzindua app (programu ya simu) yake Septemba 2014.

Kaymu Tanzania imezindua huduma zake za kwanza za programu ya simu nchini, hivyo kuwawezesha watumiaji wa Android kufanya manunuzi ya bidhaa na kuweka oda moja kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya Smart house: Nyumba zinazotumia rimoti, simu za mkononi

Unapokuwa nje ya nyumba yako hasa ikiwa imesheheni vitu vingi vya gharama, akili hushindwa kutulia kwa kujiuliza maswali mengi kuhusu usalama wa vitu hivyo.

 

10 years ago

Michuzi

Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara

MSTAHIKI Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni. Mstahiki  Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano kuwa watafanya biashara bila ya kuwa na matatizo yoyote kwa kuwa soko hilo lipo katika mfumo wa kisasa. Meya  Mwenda alisema hayo alipokuwa akikabidhi vizimba vya soko hilo kwa wafanya biashara ndondogo waishio...

 

9 years ago

TheCitizen

Smart way to alleviate poverty in Tanzania

In my last week’s article I mentioned that Gross Domestic Product (GDP) might be an incomplete metric if used solely as a tool to measure economic and social progress of a community.

 

10 years ago

GPL

VODAFONE SMART KICKA INAPATIKANA KWA SH.79,999 KWA MADUKA YA VODACOM TU‏

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga (kushoto) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) uwezo wa simu mpya aina ya Vodafone Smart Kicka katika matumizi ya mitandao ya kijamii ya Youtube, Twitter, Facebook na Whatsup. Simu hizo huuzwa kwenye maduka ya Vodacom kwa bei ya Sh 79,999 zikiwa na ofa ya 3G na SMS 1,200 kwa muda wa miezi sita. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani