Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TECNO yaja kivingine, kuzindua simu mpya CAMON 15 kwa njia ya mtandao Tanzania

KAMPUNI ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuandika historia Tanzania kwa kuzindua simu yake mpya ya CAMON15 Aprili 15 mwaka huu kwa kutumia mitandao ya kijamii yaani ‘Online Launch’.Akizungumzia kuhusu uzinduzi huo katika ofisi za TECNO jiijini Dar es Salaam leo afisa masoko wa TECNO mtandaoni, Salma Shafi amesema hii ni fursa kwa kampuni hiyo kuwasiliana na wateja wake na Watanzania wote kwa ujumla kupitia teknolojia ya intanteti.
“Hii sio tu nafasi nzuri kwa TECNO kuwasiliana na wateja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GSMArena.Com

Tecno Camon 15 and Camon 15 Pro bring 48 MP quad cameras for on the cheap - GSMArena.com news

Tecno Camon 15 and Camon 15 Pro bring 48 MP quad cameras for on the cheap - GSMArena.com news  GSMArena.comTecno launches Camon 15, Camon 15 Pro in India: Price, Features and more  India TV NewsView Full coverage on Google News

 

5 years ago

Michuzi

SIMU YA TECNO CAMON 15 SASA YAZINDULIWA RASMI, WAPENZI WA VITU VIPYA WAKARIBISHWA

KAMPUNI ya simu za mkononi  ya TECNO, imezindua  rasmi simu yake mpya CAMON 15 ambayo imesheheni sifa mbalimbali ikiwemo  kamera ya nyuma yenye MP64 na mbele MP32 ambayo imewekewa  teknolojia  kubwa yenye uwezo wa kupiga picha mahali popote na wakati wowote.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hiyo wiki hii jijini Dar es Salaam kupitia mitandao ya kijamii meneja uhusiano wa kampuni hiyo, Eric Mkomoya, alisema  simu hiyo itawasaidia sana watu wanaopenda  kutumia kamera katika nyanja...

 

5 years ago

Michuzi

LHRC KUZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019 KWA NJIA YA MTANDAO

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wametangaza kupitia tovuti yao na mitandao ya kijamii kuzindua Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019. 
RIPOTI imepangwa kuzinduliwa Jumatano, Aprili 29, 2020 kupitia mtandao wa YouTube (Haki TV), mtandao wa Zoom na mitandao ya Twitter, Facebook na Instagram.

 Kwa mujibu wa LHRC, hii ni mara ya kwanza kwa shirika hilo la utetezi wa haki za binadamu hapa nchini kuzindua ripoti kwa njia ya kidigitali tangu walipoanza kuchapisha ripoti hiyo mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

UNUNUAJI NA UUZAJI WA BIDHAA UMERAHISISHWA — KAMPUNI YA MASOKO KWA NJIA YA MTANDAO YAZINDUA “APP” YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA


Mchakato wa uuzaji na ununuaji wa bidhaa umerahisishwa sana kwa kadri waendashaji wa makampuni ya biashara kwa njia ya intaneti wanavyozidi kuwa wabunifu na wagunduzi zaidi.

Kaymu Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao imejitanua zaidi baada ya kuzindua app (programu ya simu) yake Septemba 2014.

Kaymu Tanzania imezindua huduma zake za kwanza za programu ya simu nchini, hivyo kuwawezesha watumiaji wa Android kufanya manunuzi ya bidhaa na kuweka oda moja kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

10 years ago

Michuzi

Smart Gulio. Soko Jipya la Simu na tablets Tanzania kwa njia ya Mtandao, Uza na Nunua kifaa Cha smart Buree

Contact: +2550719786099Email: info@smartgulio.tkUza,Nunua- Smart Phone,Tablets,Smart Watches, Head Phones, memory cards, tablets na kifaa kingine Kwenye SMART GULIOKwa taarifa zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

WATUMIAJI WA TECNO CAMON 15 WAFUNGUKA

IKIWA ni takriban mwezi mmoja umepita tangu kampuni ya simu za mkononi ya TECNO kuzindua simu yake mpya CAMON 15 kwa njia ya mtandao, watumiaji wengi wa simu hiyo wameeleza namna simu hiyo ya CAMON 15 ilivyo na utofauti na simu za makampuni mengine na matoleo yake yaliyopita.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maduka ya TECNO kuhusu simu hiyo, watumiaji hao wamekiri kuwa CAMON 15 imekata kiu yao ya kile walichokuwa wanakihitaji siku zote kutokana na kuridhishwa na ufanisi wa mifumo...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ifahamu simu mpya ya Tecno, Phantom 5

Tecno Mobile Tanzania wameingia sokoni simu mpya, Tecno Phantom 5. Ifahamu zaidi kwa kutazama video hiyo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Tecno yaizindua simu mpya, ni Phantom 5

Tecno Mobile Tanzania imezindua simu yake mpya, Phantom 5. Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana akiionesha simu ya Phantom 5 kwenye uzinduzi huo Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Meneja mauzo wa simu za Tecno, Fred Kadilana alidai kwenye uzinduzi huo kuwa Phantom 5 ni simu ya kisasa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani