KAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-woQ-3_rGb-Y/UymtirLwO8I/AAAAAAACc_k/Vz0hw1o4_TA/s72-c/2.jpg)
Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A NAME iliofanyika hivi karibuni.
Pichani kati ni Balozi wa Kampuni hiyo ya simu iliyozinduliwa leo jijini Dar,Msanii wa maigizo ya vichekesho atambulikae kwa jina la Hemed Maliyaga a.k.a Mkwere Orijini akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Smart Telecom,Afrika Mashariki,Abdullatif Bouziani (shoto)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKAMPUNI MPYA YA SIMU YAZINDULIWA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-6IYbFZA1nnM/ViB28AD6IFI/AAAAAAAIAMc/GoFzs7YDYeY/s640/02.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-a0Vvq0GZeAI/VCqBIAPFB1I/AAAAAAACr3U/hvRkCZCp9HA/s72-c/5.jpg)
PROGRAMU MPYA YA KUJIFUNZA SOMO LA HISABATI KWA KUTUMIA SIMU ZA MIKONONI YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-a0Vvq0GZeAI/VCqBIAPFB1I/AAAAAAACr3U/hvRkCZCp9HA/s1600/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-62UVv7pT3T4/VCqBIBriSFI/AAAAAAACr3M/3VUU-TOyvNU/s1600/6.jpg)
10 years ago
Michuzi28 Jun
Smart Gulio. Soko Jipya la Simu na tablets Tanzania kwa njia ya Mtandao, Uza na Nunua kifaa Cha smart Buree
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, UHURU ONE YAANZISHA MFUMO MPYA WA MTANDAO WA 4G LTE
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Kampuni ya Simu ya Tigo, Huawei wazindua simu ya watu wa hali ya chini jijini Dar
Meneja wa Vifaa vya Huawei, Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga.
Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
GPL30 Sep
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Au2H2NiRfwM/VFDqskks3lI/AAAAAAACt9o/dGm8G9oLcEo/s72-c/1.jpg)
KAMPUNI YA TIGO YATANGAZA USHIIRIKIANO NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK JIJINI DAR LEO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Au2H2NiRfwM/VFDqskks3lI/AAAAAAACt9o/dGm8G9oLcEo/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-UhEOWpO2f_U/VFDqsgb6QDI/AAAAAAACt9s/9xZNQKgctE8/s1600/2.jpg)
Mkuu wa ukuaji na ushirikiano wa mitandao ya kijamii kutoka Tigo, Naheed Hirji, akielezea upatikanaji wa huduma hiyo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-YdSsWPirvZ0/VFDr06YPgFI/AAAAAAACt98/Bm0l2CQV5j8/s1600/3.jpg)
KAMPUNI ya mtandao wa Tigo, imetangaza rasmi ushirikiano kati yao na mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo itatoa ofa ya Intaneti itakayotumiwa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10