Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZUA Smart Shavers yaja na muonekano mpya

IMG_1410

Muonekano mpya wa nje wa MAZUA Smart Shavers iliyopo maeneo  ya KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi).

Haya sasa kwa wakazi wa UBUNGO,,,,,,,KIMARA,,,,,,,MBEZI LUIS,,,,,,,,KIBAMBA,,,,,,,,,,KIBAHA na maeneo mengine yoote ya jiji la Dar es Salaam….sasa hakuna haja tena ya kuhangaika na foleni kwenda mjini kunyolewa ama KUPAMBA MAHARUSI wa kiume, Sasa mmesogezewa huduma nyumbani……ni MAZUA SMART SHAVERS✔️ iliyokuja na muonekano mpya inapatikana eneo la KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi) ukiwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaja na simu ya Vodafone Smart Kicka

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kushoto)akielezea kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)uwezo wa simu mpya aina ya Vodafone Smart Kicka katika matumizi ya mitandao ya kijamii ya Youtube,Twitter,Facebook na whatsup. Simu hizo huuzwa kwenye maduka ya Vodacom kwa bei ya Sh 79,999 zikiwa na ofa ya 3G na SMS 1,200 kwa muda wa miezi sita.Kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu. Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga...

 

9 years ago

Global Publishers

Muonekano mpya wa Yemi Alade

Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-3-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-4-600x600 Yemi-Alade-by-Kelechi-Amadiobi-600x600

STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.

Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.

 

10 years ago

Vijimambo

MUONEKANO MPYA WA MISSY ELLIOTT

Rapa wa siku nyingi nchini Marekani aliyejipatia umaarufu kwenye nyimbo za lose control na get ur freak on amepunguza kuonekana kwenye kadamnasi kwa nadra sana.
Siku ya Alhamisi alitokea kwenye onesho la Alexander Wang’s H&M Collection akiwa na muonekano mpya kama anavyoonekana kwenye picha.

 

10 years ago

GPL

MUONEKANO WA TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS

Tembelea hapa ====>www.globalpublishers.co.tz

 

11 years ago

GPL

MUONEKANO MPYA WA MREMBO WEMA SEPETU

Pichani juu ni taswira za Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika hivi "For my baby... yes you...". Mrembo huyu kwa sasa yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond…

 

11 years ago

GPL

MUONEKANO MPYA WA ROUND ABOUT YA MTAA WA CONGO DAR

Eneo lenye mvuto wa aina yake maeneo ya mtaa wa Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI CHANGAMKIENI SMART 6 MPYA YA VODACOM

KATIKA kuhakikisha wateja wake kutokuwa nyuma kiteknolojia na kupata huduma bora za mawasiliano ya kisasa kwa kutumia mtandao wa intanet,kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua simu mpya ya Smart 6 ya gharama nafuu ambayo wananchi wengi wanaweza kumudu kuinunua.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa simu hii Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Kelvin Twissa amesema kuwa simu hii  imelenga wateja wake wenye vipato vya kawaida ili kuwawezesha kufurahia huduma za kisasa za matumizi ya...

 

9 years ago

GPL

WANANCHI CHANGAMKIENI SMART 6 MPYA YA VODACOM‏

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(kushoto)akiwanesha waandishi wa habari(hawapo pichani) simu mpya aina ya Smart 6 wakati wa uzinduzi wa simu hiyo yenye kioo kikubwa kinachomuwezesha mtumiaji kusoma na kuangalia taarifa kwa urahisi na ina kamera ya kisasa na uwezo zaidi wa kuperuzi intanet ya 3G,itapatikana kwa bei nafuu kabisa shilingi 90,000/- inapatikana katika maduka yote ya kampuni hiyo.Mteja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani