MUONEKANO MPYA WA MISSY ELLIOTT
![](http://1.bp.blogspot.com/-cMhL66IS9zA/VEGcCQ-LJ1I/AAAAAAADJ9c/hSpzL4tJfoo/s72-c/1017-missy-launch-3.jpg)
Rapa wa siku nyingi nchini Marekani aliyejipatia umaarufu kwenye nyimbo za lose control na get ur freak on amepunguza kuonekana kwenye kadamnasi kwa nadra sana.
Siku ya Alhamisi alitokea kwenye onesho la Alexander Wang’s H&M Collection akiwa na muonekano mpya kama anavyoonekana kwenye picha.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo525 Sep
New Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya aliomshirikisha Missy Elliott — Burn It Up
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Missy Elliott Ft Pharrell Williams — WTF (Where They From)
![missy2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/missy2-300x194.jpg)
Missy Elliott ameachia Video mpya ya kwanza ndani ya miaka 10, wimbo unaitwa “WTF (Where They From)” Amemshirikisha mkali wa hit single ya Happy, Pharrell Williams.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo521 Nov
Music: Monica Ft. Missy Elliott, Laiyah – Code Red
![MONII2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/MONII2-300x194.jpg)
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Monica ameachia wimbo mpya unaitwa “Code Red”. Amemshirikisha Missy Eliott Album mpya ya ‘Code Red’ inategemea kuwa sokoni tarehe 04 December 2015.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo512 Sep
New Video: Faith Evans f/ — Missy Elliott and Sharaya J — I Deserve It
9 years ago
Bongo526 Sep
Music: Janet Jackson feat. Missy Elliott — ‘Burnitup!’
10 years ago
Bongo520 Oct
Picha: Missy Elliott auonesha mwonekano wake wa sasa baada ya mwili wake kupungua sanaaa!
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Muonekano mpya wa Yemi Alade
STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.
Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcq2rEH9LQl*XnohnyIFjGRgz8TGbJ1t0JaNwboGXGbOkyS0kCk6iU9B4IN5xNLnawA01RTh1kcAO9ro4-Co1oAh/MASOGANGE3.jpg?width=650)
10 years ago
GPL