JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRais Magufuli ateua Makatibu Wakuu wawili na Mganga Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli
9 years ago
StarTV06 Nov
Rais Magufuli ateua Mwanasheria mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli ameanza kazi rasmi mara baada ya kuapishwa, ambapo tayari amemteua John Mcheche Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Pamoja na uteuzi huo, Rais Dr. Magufuli ameitisha bunge, na kuagiza kukutana November 17, wakati ambapo pia anatarajiwa kuwasilisha jina la atakayemkusudia kuwa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano.
Mapema jana, Rais Dokta Magufuli ameapishwa rasmi kwenye uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam, tukio...
10 years ago
Vijimambo03 Jan
Rais ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya...
10 years ago
MichuziMTENDAJI MKUU PDB AWAPA CHANGAMOTO WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
11 years ago
MichuziNaibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu
George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa.
Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU
10 years ago
MichuziNAIBU MTENDAJI MKUU BRN AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA KILIMO
10 years ago
VijimamboBARUA AMBAYO INADAIWA KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ALILAZIMISHWA KUANDIKA NA MWANASHERIA MKUU WEREMA ILI KUCHOTA PESA HUKO ESCROW
Na ukitaka kujuwa nini kimeandikwa kwenye magazeti ya ulaya kuhusu issue hii fungua link hapo chini
http://www.theguardian.com/global-development/2014/oct/13/uk-and-international-donors-suspend-tanzania-aid-after-corruption-claims