Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli ateua Mwanasheria mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli ameanza kazi rasmi mara baada ya kuapishwa, ambapo tayari amemteua John Mcheche Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Pamoja na uteuzi huo, Rais Dr. Magufuli ameitisha bunge, na kuagiza kukutana November 17, wakati ambapo pia anatarajiwa kuwasilisha jina la atakayemkusudia kuwa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano.

 Mapema jana, Rais Dokta Magufuli ameapishwa rasmi kwenye uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam, tukio...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Rais ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya

Bwana George Mcheche Masaju, Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu wawili na Mganga Mkuu wa Serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli



 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akuapisha Jaji Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais Dk. John Pombe Magufuli, leo asubuhi amemuapisha Bw. George Mcheche Masaju kuendelea kutumikia nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS DKT.MAGUFULI AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha George Masaju, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali,wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,  Okt. 6, 2015. Picha na OMR  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimina na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati aliwapowasili kwenye Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam,leo asubuhi Okt. 6, 2015 kwa ajili ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt.Magufuli amwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Dar leo

01

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimina na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati aliwapowasili kwenye Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo asubuhi Okt. 6, 2015 kwa ajili ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, aliyemteua jana Okt 5, 2015 mara tu baada ya kuapishwa rasmi. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande. (Picha na OMR).

02

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha George...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aanza kazi, amteua mwanasheria mkuu wa serikali

Saa chache baada ya kuapishwa kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano, Dk John Magufuli amemteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI IKULU DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani