Rais ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya
Bwana George Mcheche Masaju, Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Nov
Rais Magufuli ateua Mwanasheria mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli ameanza kazi rasmi mara baada ya kuapishwa, ambapo tayari amemteua John Mcheche Masaju kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.
Pamoja na uteuzi huo, Rais Dr. Magufuli ameitisha bunge, na kuagiza kukutana November 17, wakati ambapo pia anatarajiwa kuwasilisha jina la atakayemkusudia kuwa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano.
Mapema jana, Rais Dokta Magufuli ameapishwa rasmi kwenye uwanja wa taifa Jijini Dar es Salaam, tukio...
10 years ago
Michuzi
JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...
10 years ago
Michuzi
Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya

Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano...
11 years ago
Vijimambo
RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI IKULU DAR
5 years ago
Michuzi
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu wawili na Mganga Mkuu wa Serikali


10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI IKULU DAR LEO



9 years ago
CCM Blog
RAIS DKT.MAGUFULI AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, IKULU DAR


9 years ago
Michuzi
Rais Magufuli akuapisha Jaji Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
