Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYANZA: Mwalimu ajinyonga, mtendaji agongwa na kufariki papo hapo

>Watu wawili wamekufa mkoani Mara katika matukio mawili tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mfanyabiashara wa madini apata ajali mbaya ya gari lake iliyopelekea kupasuka kichwa na kufariki papo hapo, kisa mwendo kasi

gari

Gari lililokuwa limebeba mwili wa mfanyabiashara wa madini ya Coper Henrico Kairuki likiwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.

Na Hillary Shoo, MKALAMA.

Mfanyabiashara wa madini aina ya Shaba Mkoani Singida amefariki dunia papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo alilokuwa akiendesha kuacha njia na kisha kupinduka mara tatu.

Ajali hiyo mbaya imetokea katika kijiji cha Gumanga Tarafa ya Nduguti Wilayani Mkalama majira ya saa 9:00 alasiri na kulihusisha gari dogo aina ya...

 

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KUFARIKI DUNIA HAPOHAPO

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Meshak John Lusito amegongwa na gari na kufariki dunia leo eneo la Gezaulole, Kigamboni Dar, aliyemgonga amekimbia na gari lake na inasemekana ni  kiongozi! (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

11 years ago

Habarileo

Basi laua watu 12 papo hapo

WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe, Tanga kwenda Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo ilitokea jana saa 1.30 asubuhi kwenye barabara kuu ya Segera-Chalinze katika kijiji cha Kwalaguru kata ya Kwedizinga wilayani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ kuanzisha adhabu za papo hapo barabarani

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inakusudia kuanzisha adhabu za papo kwa hapo kwa ajili ya kudhibiti makosa ya barabarani ambayo baadhi yanafanywa na madereva kwa uzembe na kusababisha madhara makubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wachafua mazingira faini papo kwa hapo

>Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto imeagizwa kuanza utekelezaji wa utozaji wa faini ya papo kwa papo ya Sh50,000 kwa watakaobainika kuchafua mazingira kwa makusudi.

 

9 years ago

Habarileo

Majaribio ya tozo ya papo hapo barabarani kuanza leo

MFUMO mpya wa tozo ya papo kwa hapo kwa njia ya kielektroniki na kanuni ya kuweka nukta katika leseni za udereva kuanza kutumika leo kwa majaribio katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

NEW ALERT: AJALI MWANZA WATU ZAIDI YA 20 WAFARIKI PAPO HAPO

 Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia, kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega. Chanzo East Africa Television (EATV)

 

9 years ago

Michuzi

WAWILI WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO LEO MKOANI IRINGA.

WATU wawili wamefariki dunia Papo hapo baada ya Gari walilokuwa wakisafiria lililobeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani mkoani Mbeya kupata ajali Eneo la Kitonga Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.

Ajali hiyo imetokea leo alfajiri baada ya dereva wa Gari hilo kujinusuru kugongana uso kwa uso na gari jingine, hivyo kulazimika kuingia nyuma ya lori na kupelekea kifo chao.
Kwa mujibu wa Wakala Afisa mauzo wa magazeti ya Mwananchi Mkoa wa Iringa Alex Kadea ambae alifika...

 

10 years ago

Michuzi

JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALARIA PAPO HAPO !.

Mwanadiaspora Mtanzania na Mkurugenzi wa JENGA TANZANIA FOUNDATION Bw. Nasoro Ally akitambulisha rasmi Home Malaria Kit katika mkutano wa  Africa Diaspora Market Place (ADMP III) uliofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani tarehe 10/27/2014.Akizungumza katika mkutano huo, Bw.. Nasoro Ally alieleza  kuwa  bado Malaria ni tishio kubwa la uhai kwa Sub-Sahara Africa na ni chanzo cha vifo vya watoto wadogo hasa chini ya umri wa miaka 5 . Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani