JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALARIA PAPO HAPO !.
Mwanadiaspora Mtanzania na Mkurugenzi wa JENGA TANZANIA FOUNDATION Bw. Nasoro Ally akitambulisha rasmi Home Malaria Kit katika mkutano wa Africa Diaspora Market Place (ADMP III) uliofanyika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani tarehe 10/27/2014.Akizungumza katika mkutano huo, Bw.. Nasoro Ally alieleza kuwa bado Malaria ni tishio kubwa la uhai kwa Sub-Sahara Africa na ni chanzo cha vifo vya watoto wadogo hasa chini ya umri wa miaka 5 . Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Nov
JENGA TANZANIA FOUNDATION YAWALETEA KIPIMO CHA MALERIA PAPO KWA HAPO
Kipimo hicho chenye uwezo wa kugundua vijidudu vya...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Lori la mizigo lagonga Kilabu cha Pombe na kuua watu watano papo hapo!
Lori la Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo baada ya kutokea .
Maiti nne za marehemu ambao walifariki papo hapo baada ya Lori hilo kugonga kilabu hicho ikiwa imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya Iringa.
Baadhi ya wananchi wa Eneo la Isimila wakiwa wameongezeka kushuhudia ajali hiyo mbaya iliyouwa wata watano papo hapo.
Hivi...
11 years ago
MichuziWASHINDI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KWA KANDA YA PWANI WAPATIKANA NA KUKABIDHIWA VITITA VYAO PAPO HAPO
11 years ago
Habarileo13 Dec
Basi laua watu 12 papo hapo
WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe, Tanga kwenda Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo ilitokea jana saa 1.30 asubuhi kwenye barabara kuu ya Segera-Chalinze katika kijiji cha Kwalaguru kata ya Kwedizinga wilayani hapa.
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA DMV YAUNGA MKONO MRADI WA MALARIA WA JENGA
Foundation ya JENGA yapokelewa na Jumuiya ya Washington, DC kwa mwamko mzuri wa lengo la kujishirikisha kusaidia nyumbani Tanzania katika masuala ya malaria. Mradi ambao ulielezewa na Mkurugenzi wa JENGA Bwn. Nassoro Bassalama kwa kina. Pia Mgen rasmi Balozi wa African Union Bi Amina S. Ali, alihamasishwa na JENGA juu ya mradi wa malaria na kuwasihi watanzania...
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Wachafua mazingira faini papo kwa hapo
10 years ago
Habarileo17 Apr
SMZ kuanzisha adhabu za papo hapo barabarani
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inakusudia kuanzisha adhabu za papo kwa hapo kwa ajili ya kudhibiti makosa ya barabarani ambayo baadhi yanafanywa na madereva kwa uzembe na kusababisha madhara makubwa.
10 years ago
Habarileo17 Sep
Majaribio ya tozo ya papo hapo barabarani kuanza leo
MFUMO mpya wa tozo ya papo kwa hapo kwa njia ya kielektroniki na kanuni ya kuweka nukta katika leseni za udereva kuanza kutumika leo kwa majaribio katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi21 Apr
NEW ALERT: AJALI MWANZA WATU ZAIDI YA 20 WAFARIKI PAPO HAPO