Ofisa Masoko akidaiwa kuiba 69.8m/-
OFISA Masoko wa Kampuni ya NN General Supplies Simon Lyatuu (47) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 69.8.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Jul
Kizimbani akidaiwa kuiba Sh mil 19.6/-
MKAZI wa Igoma, Mwanza, Leticia Moses (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 19.6.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Nguvuni akidaiwa kuiba mtoto
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Auawa akidaiwa kuiba mahindi mabichi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEUTGNqGkKz5Bfx9jRBPlvxBah6x3y37tAzd368A4p2seUQfgrAfwoXpEzE0orZaQm2gyihHICp8Z6Wqkzg-Y*HH/1Kibakaachomwamotoakidaiwakuibabasikeli.jpg?width=650)
ACHOMWA MOTO AKIDAIWA KUIBA BAISKELI MOROGORO
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Ofisa Masoko Coca-Cola auawa
OFISA Masoko wa Kampuni ya vinywaji ya Coca-Cola, Steven Mbilo (40), amefariki dunia baada ya kupigwa risasi maeneo ya kifuani. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Iringa,...
11 years ago
Habarileo17 Jan
Ofisa Ugavi adaiwa kuiba karatasi za mil. 47
OFISA Ugavi, Flora Ntubika (41) leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa karatasi zenye thamani ya Sh milioni 47.4. Ntubika alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Gabriel Mirumbe.
10 years ago
Habarileo14 Aug
Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa
POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...