Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto

Polisi wanamshikilia mkazi wa Mjimwema Makambako kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa kiume mwenye umri ya miezi mitatu katika Hospitali ya Kibena, Njombe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nguvuni akidaiwa kuiba mtoto

Jeshi la Polisi mkoani Geita, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuiba na kumtorosha mtoto wa miaka sita kwa lengo la kutaka kumdhuru na kumpeleka kusikojulikana.

 

10 years ago

Vijimambo

Askari polisi mbaroni akidaiwa kubaka mtoto

Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha.
Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (jina tunalo, 13), mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.

Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli kamili, akigoma kutaja...

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani akidaiwa kuiba Sh mil 19.6/-

MKAZI wa Igoma, Mwanza, Leticia Moses (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 19.6.

 

11 years ago

Habarileo

Ofisa Masoko akidaiwa kuiba 69.8m/-

OFISA Masoko wa Kampuni ya NN General Supplies Simon Lyatuu (47) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 69.8.

 

11 years ago

Mwananchi

Auawa akidaiwa kuiba mahindi mabichi

Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Sambila Mihayo anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 22 ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiiba mahindi mabichi shambani katika Kitongoji cha Ilolanguli Kijiji cha Mbabani Wilaya ya Geita mkoani hapa.

 

10 years ago

GPL

ACHOMWA MOTO AKIDAIWA KUIBA BAISKELI MOROGORO

Gari la polisi likiondoka na mwili wa kijana huyo.
Wanafunzi wa Sekondari ya Alfa James wakishuhudia mahali alipochomewa mtuhumiwa.…

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa

POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwanamke mbaroni akidaiwa kuua mwanawe

Mkazi wa Kitongoji cha Majengo, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita, Siwema Kayu (27) anadaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kutokana na ulevi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani