Askari polisi mbaroni akidaiwa kubaka mtoto
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha.
Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (jina tunalo, 13), mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli kamili, akigoma kutaja...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Polisi jela maisha kwa kubaka, kulawiti mtoto
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.
Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya...
10 years ago
Habarileo25 Apr
20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari
Asifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2ZrjeRCNNcJaQKsTGYNVxqYg2-yR4tGYqU9gFqezdvPboVpnwmH5qSVaj-cLBQbdKsYVPVUmkpgBf3tY*rOW9l/polisi.jpg?width=650)
MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-EiOMZqBZYlY/VDN8Ku7DUCI/AAAAAAAAD44/PEJDfj2p1WI/s72-c/NJEMBA.1.jpg)
ALIYEMLAWITI MTOTO WA DARASA LA TATU AACHIWA HURU NA ASKARI POLISI JIJINI DAR.
![](http://4.bp.blogspot.com/-EiOMZqBZYlY/VDN8Ku7DUCI/AAAAAAAAD44/PEJDfj2p1WI/s1600/NJEMBA.1.jpg)
Moja ya matukio yaliyowahi kutokea ambapo katika picha hii ya maktaba, Mtoto wa umri wa miaka sita (jina limehifadhiwa) alinusurika kubakwa Manispaa ya Tabora hivi karibuni na Mwanaume mmoja eneo la Kaloleni.
Kesi ya mwanafunzi wa darasa la tatu (jina linahifadhiwa) katika Shule ya Msingi Ukombozi iliyofunguliwa katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kulawitiwa imefutwa.
Kesi hiyo ambayo ilifunguliwa Septemba 15, mwaka huu kituoni hapo, ikimkabili mtuhumiwa...
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Askari Sudan wadaiwa kuua na kubaka raia
10 years ago
Habarileo14 Aug
Mbaroni akidaiwa kuua mgonjwa
POLISI mkoani Singida inamshikilia mtu anayedaiwa kuwa daktari ‘feki’ kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mgonjwa, mkazi wa kijiji cha Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani hapa.
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...