Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Leonard Paul . WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake. Pia kamanda huyo alisema Polisi inamshikilia mkazi wa Mawenzi mjini hapa, Dikanyo Ramadhani (29) kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari

SSSAsifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari polisi mbaroni akidaiwa kubaka mtoto

Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha.
Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (jina tunalo, 13), mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.

Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli kamili, akigoma kutaja...

 

11 years ago

Mwananchi

Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso jijini Arusha, Denis Shayo (45) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Yusufu Mukhtar (37) Mtanzania mwenye asili ya Asia, mkazi wa Majengo Sokoni jijini hapa.

 

10 years ago

GPL

RAPPA THE GAME ASHTAKIWA KWA KUMPIGA KONDE POLISI

Video inayomuonyesha The Game akimchapa konde Onyebuchi Awaji. RAPPA wa Marekani, Jayceon Terrell Taylor maarufu kwa jina la The Game ameshtakiwa kwa kumpiga polisi aliyedai kusababishiwa maumivu katika ubongo. Rappa The Game. The Game alimpiga konde askari polisi wakati wakifanya mazoezi ya mchezo wa kikapu Machi 29, mwaka huu katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Hollywood jijini Los Angeles, Marekani. Askari huyo aitwaye,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askari magereza mbaroni kwa wizi

JESHI la Polisi Zanzibar linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo sawa na Magereza kwa Tanzania Bara kwa tuhuma za wizi wa sh 1,635,000 alizoiba kutoka katika duka moja lililopo eneo...

 

9 years ago

Mwananchi

Askari sita mbaroni kwa mauaji

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia askari sita na kumsaka mwingine kwa tuhuma za mauaji ya watuhumiwa wawili wa ujangili.

 

10 years ago

Habarileo

Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji

ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani