Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAPPA THE GAME ASHTAKIWA KWA KUMPIGA KONDE POLISI

Video inayomuonyesha The Game akimchapa konde Onyebuchi Awaji. RAPPA wa Marekani, Jayceon Terrell Taylor maarufu kwa jina la The Game ameshtakiwa kwa kumpiga polisi aliyedai kusababishiwa maumivu katika ubongo. Rappa The Game. The Game alimpiga konde askari polisi wakati wakifanya mazoezi ya mchezo wa kikapu Machi 29, mwaka huu katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Hollywood jijini Los Angeles, Marekani. Askari huyo aitwaye,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JUSTIN BIEBER ASHTAKIWA KWA KUMPIGA DEREVA

Justin Bieber akifikishwa katika kituo cha polisi cha Toronto.
MWANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Pop kutoka Canada, Justin Bieber amefunguliwa mashtaka kwa kumpiga dereva wa gari la kifahari la kukodisha mwezi Desemba mwaka jana. Bieber mwenye umri wa miaka 19 alikaribishwa katika kituo cha polisi cha Toronto na kikosi kikubwa cha wapiga picha za televisheni pamoja na mashabiki wake. Amefunguliwa mashtaka ikiwa ni ndani ya...

 

10 years ago

Habarileo

20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.

 

10 years ago

GPL

MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Leonard Paul . WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake. Pia kamanda huyo alisema Polisi inamshikilia mkazi wa Mawenzi mjini hapa, Dikanyo Ramadhani (29) kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi mzungu ashtakiwa kwa kuua tineja mweusi

Askari huyo alimfyatulia tineja huyo risasi 16 punde baada ya kumfumania akitoboa gurudumu la gari la polisi mjini Chicago Marekani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi Kenya ashtakiwa kwa mauaji wakati wa amri ya kutotoka nje usiku

Polisi mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa mauaji ya kijana Yasin Moyo, 13, ambaye alipigwa risasi akiwa barazani kwao

 

10 years ago

Vijimambo

"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni:Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwaLusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa
Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Ruvuma wadaiwa kumpiga risasi dereva

Polisi Mkoa wa Ruvuma imeingia matatani baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi dereva wa bodaboda, Sallgo Nduguru (22) na kumjeruhi kiganja na paja la mguu wa kushoto.

 

10 years ago

Vijimambo

SIKILIZA MAPIGO YA "DUNDIKA" NDANI YA ALBAMU YA "PIGA MOYO KONDE" KUTOKA KWA MSAANI ERICA


Msaani Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la  “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde  ilianza kupatikana rasmi mwezi wa Juni 30, 2015 na kuanza kupatika katika vianzo vya miziki kama Google Play na Itune. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi  duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na...

 

10 years ago

GPL

WEMA ASHTAKIWA KWA KOVA

Waandishi wetu
KIMENUKA! Mtangazaji na MC (master of ceremony) maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameivalia njuga tabia ya mastaa kuhusika na matusi ya mtandaoni na kupiga picha za utupu ambapo kwa kuanza amemshitaki mwanadada Wema Isaac Sepetu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akimtuhumu kuwa kati yao. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Akizungumza na Ijumaa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani