20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2ZrjeRCNNcJaQKsTGYNVxqYg2-yR4tGYqU9gFqezdvPboVpnwmH5qSVaj-cLBQbdKsYVPVUmkpgBf3tY*rOW9l/polisi.jpg?width=650)
MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari
Asifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...
10 years ago
Vijimambo09 Jan
Askari polisi mbaroni akidaiwa kubaka mtoto
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/justin-09Dec2015.jpg)
Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (jina tunalo, 13), mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli kamili, akigoma kutaja...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pJanJcsrIwHcuLdtB1pvHS-PkOPT*j2BfwwbWRJSMRbJwuUiz4qgiJrxl-pS54adrGZL-Zwf9jCsYdon5a5SVjgdIfy9ASRF/thegame.jpg?width=650)
RAPPA THE GAME ASHTAKIWA KWA KUMPIGA KONDE POLISI
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Askari magereza mbaroni kwa wizi
JESHI la Polisi Zanzibar linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo sawa na Magereza kwa Tanzania Bara kwa tuhuma za wizi wa sh 1,635,000 alizoiba kutoka katika duka moja lililopo eneo...
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Askari sita mbaroni kwa mauaji