Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso jijini Arusha, Denis Shayo (45) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Yusufu Mukhtar (37) Mtanzania mwenye asili ya Asia, mkazi wa Majengo Sokoni jijini hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM16 Jul
Young Thug akamatwa kwa kosa la kutishia kumpiga mtu risasi.
Rapper kutoka Atlanta, Young Thug amewekwa chini ya ulinzi mapema siku ya jana huko Sandy Springs, Georgia baada ya kutishia kumpiga risasi mlinzi wa mall.
July 7, Jeffrey Williams au Young Thug alifanya vurugu kwenye mall hiyo “ upscale Perimeter Mall” ambapo alitishia kumpiga risasi ya uso mlinzi aliyekua akimtoa nje.
Young thug ni mmoja ya wasanii watakovaa steji ya tuzo za “MTV MAMA” Jumamosi hii.
9 years ago
StarTV30 Oct
Mtu Mmoja mbaroni kwa kukutwa na Bastola 1, risasi 9
Polisi mkoani Tanga imemkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Bashiru Hamis maarufu kama Hazari mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Ilala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na Bastola 1 yenye namba C. 1193 na risasi 9 kwenye magazini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa katika kijiji cha Tengwe wakati akielekea kufanya uhalifu kwenye vituo vya mafuta vilivyopo katika mji wa Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi...
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa
10 years ago
Habarileo25 Apr
20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2ZrjeRCNNcJaQKsTGYNVxqYg2-yR4tGYqU9gFqezdvPboVpnwmH5qSVaj-cLBQbdKsYVPVUmkpgBf3tY*rOW9l/polisi.jpg?width=650)
MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI
11 years ago
Habarileo12 Apr
Hakimu ampiga risasi Muasia ugomvi wa hawara
HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso, David Shayo (40), anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa kosa la kumpiga risasi mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ugomvi wa kugombea mwanamke.
10 years ago
StarTV21 May
Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi Bujumbura.
Mtu mmoja apigwa risasi Bujumbura
Habari kutoka Burundi zinasema kuwa mtu mmoja amepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Bujumbura.
Mtu huyo alikuwa miongoni mwa waandamanaji wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa awamu ya tatu.
Walioshuhudia wanasema kuwa polisi walimpiga mwandamanaji huyo risasi mgongoni wakiwa katika eneo la Musaga linalotazamwa kama ngome ya upinzani.
Waandamanaji walijaribu kufika katikati mwa jiji la Bujumbura lakini walitimuliwa kwa mabomu...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Polisi Ruvuma wadaiwa kumpiga risasi dereva
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Kumpiga mtu ni unyama na kinyume na sheria
NIMESEMA haya mara nyingi ninafikiri ni muhimu kuyarudia ili wale wagumu wa kuelewa wayasome mara nyingi na kujifunza. Tunaweza kuyarudia mara kwa mara hadi yaingie akili mwao. Kumpiga mtu ni...