Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakimu ampiga risasi Muasia ugomvi wa hawara

HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso, David Shayo (40), anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa kosa la kumpiga risasi mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ugomvi wa kugombea mwanamke.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi ampiga kichanga cha mwezi kwa mchi kichwani, ni katika ugomvi

>Mtoto mchanga mwenye umri wa mwezi mmoja, Yadiko Chigoda amelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kupigwa na mchi kichwani na baba yake mzazi na kumsababishia maumivu makali.

 

11 years ago

Mwananchi

Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso jijini Arusha, Denis Shayo (45) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Yusufu Mukhtar (37) Mtanzania mwenye asili ya Asia, mkazi wa Majengo Sokoni jijini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara apigwa risasi ugomvi wa fedha

MFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Daud Madaha amepigwa risasi kifuani na yuko mahututi katika hospitali ya rufaa ya Selian Jijini Arusha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbwa ampiga risasi mmiliki wake !

Mwanamke mmoja mmiliki wa mbwa huko Marekani amelazimika kupokea matibabu baada ya jibwa lake kufyatua bastola na kumjeruhi mguu

 

11 years ago

GPL

MKE, HAWARA...

Stori: Waandishi Wetu KUNA matukio ambayo kama binadamu yasikie kwa wengine tu lakini yasikutokee wewe! Kama hili la mkazi wa Ukonga –Mzambarauni, Dar, Paulo Ndulu ambapo mkesha wa kuamkia Sikukuu ya Sabasaba, alijikuta katika wakati mgumu pale alipoingia kibaruani kuamua ngumi kati ya mkewe, Anitha Mapunda na Elizabeth Chacha aliyedaiwa kuwa ni hawara yake, OFM walishuhudia. Bw. Paulo Ndulu  akijaribu kuamua ugomvi...

 

11 years ago

GPL

KISA HAWARA!

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah MY God! Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Pamela Said (30) amedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex kisa kikiwa ni simu aliyopigiwa mumewe na hawara’ke. Mke wa mtu anayefahamika kwa jina la Pamela Said (30) anayedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Mei 23,...

 

11 years ago

GPL

DENTI AFIA KWA HAWARA

Stori: DENIS MTIMA NA MAYASA MARIWATA MSICHANA Atu Gabriel mwenye umri wa miaka 20,  mwanafunzi wa Chuo cha Eden Hill kilichopo Kwamfipa wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekutwa amekufa chumbani kwa mtu anayetajwa kuwa ni hawara yake, Hafidh Mohammed. Mwili wa Atu ukiwa chumbani kwa mtu anayesadikika kuwa ni mpenzi wake, Hafidh Mohammed. Tukio hilo lilitokea April 26, mwaka huu na kukusanya umati huku mwanaume aliyelala na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke afia kwa hawara

MWANAMKE Jane Bhoke (27) amefariki dunia nyumbani kwa hawara yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema kifo hicho kilitokea juzi saa 12 jioni eneo la Zingiziwa Chanika...

 

10 years ago

GPL

MUME ALIVYOMCHOMA KISU HAWARA

Richard Bukos na Makongoro Oging’/Uwazi
Habari zilizolitikisa Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita ni pamoja na ile ya mkazi wa Chamazi, Hussein Mfaume, kumchoma visu hawara yake,  Ester Thomas Ungele (30), naye kujichoma mpaka kujitoa utumbo, Uwazi limeichimba kwa kina. Hawara akipelekwa hospitali baada ya kuchomwa kisi. Habari zilidai kuwa, kisa hasa cha mwanaume huyo kujichukulia uamuzi huo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani