Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyabiashara apigwa risasi ugomvi wa fedha

MFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Daud Madaha amepigwa risasi kifuani na yuko mahututi katika hospitali ya rufaa ya Selian Jijini Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA APIGWA...

Na Waandishi Wetu/Uwazi
MFANYABIASHARA wa Kisesa wilayani Magu, Mwanza, Nestory Andrew ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi usiku wa Februari 16, mwaka huu huku mke wake akishuhudia. Mke wa mfanyabiashara huyo (kulia) akiwa na simanzi kubwa. Imedaiwa kuwa kabla ya majambazi hao hawajafanya mauaji hayo, waliuteka Mtaa wa Kisesa kwani jirani na duka la mfanyabiashara huyo kulikuwa  na mafundi baiskeli ambao walizuiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu ampiga risasi Muasia ugomvi wa hawara

HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso, David Shayo (40), anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa kosa la kumpiga risasi mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ugomvi wa kugombea mwanamke.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara auawa kwa risasi

MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi



Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi wampiga risasi mfanyabiashara nyumbani

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamemvamia na kumjeruhi kwa risasi, mfanyabiashara maarufu wa simu jijini Mbeya, Obadia Mtawa (41).

 

10 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa

MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.

 

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA

Mfanyabiashara wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp, Timoth Mroki (36). MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa.
Kisa cha kujiua kwake...

 

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI

STORI: WAANDISHI WETU/Uwazi
MFANYABIASHARA mwanamama aliyetambulika kwa jina la Prisca Paul Rugeiyamu au Mama Koku (34) ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nje ya geti la nyumba yake huku mwanaye Careen (12) akishuhudia. Padri akiuombea mwili wa marehemu Prisca Paul Rugeiyamu kanisani. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Januari 12, mwaka huu saa mbili usiku maeneo ya Tabata Segerea jijini Dar ambapo kwa mujibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani