Majambazi wampiga risasi mfanyabiashara nyumbani
Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamemvamia na kumjeruhi kwa risasi, mfanyabiashara maarufu wa simu jijini Mbeya, Obadia Mtawa (41).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Mfanyabiashara auawa kwa risasi
MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Habarileo20 Jun
Majambazi 7 wamuua mfanyabiashara kwa 300,000/-
MAJAMBAZI 7 wakiwa na silaha mbalimbali wamemuua kwa kumpiga risasi mfanyabiashara Felix Laungeni (58) ambaye ni mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/li0jpfi0h9ncbHh9lZe3p*hHhTFT9qUGiHTSrz1kLYDg8srr6HX3qTzoYEtYSxrDRSr58Epkhl2iPTehITSVoPRqnQ7L6fm7/BACKUWAZI.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Jan
Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBthXV2sose3tCmqcnxZT7wsZhcpYc8Hb7GyiNGYyrQZjeGcWQXs5jZQ-OgGTEiPSeCGPQq*qfI*v0FfP*7dKs3/timothy.jpg?width=400)
MFANYABIASHARA AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.
11 years ago
Habarileo10 Jul
Mfanyabiashara apigwa risasi ugomvi wa fedha
MFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Daud Madaha amepigwa risasi kifuani na yuko mahututi katika hospitali ya rufaa ya Selian Jijini Arusha.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZfKTftH0xy8L1-272ZBhkGvJT*1IikXLTfhMX08m3DWvjqROZyhmixElo-bCM7e3DhMPUEH4eq6AOt0-gavprVT/AHMED.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MOMBASA, KENYA