MFANYABIASHARA AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBthXV2sose3tCmqcnxZT7wsZhcpYc8Hb7GyiNGYyrQZjeGcWQXs5jZQ-OgGTEiPSeCGPQq*qfI*v0FfP*7dKs3/timothy.jpg?width=400)
Mfanyabiashara wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp, Timoth Mroki (36). MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa. Kisa cha kujiua kwake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-iOmOc90UA08/VE3hesyN_-I/AAAAAAAAYX0/omTJwfQfQ04/s72-c/timothy.jpg)
MROKI AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-iOmOc90UA08/VE3hesyN_-I/AAAAAAAAYX0/omTJwfQfQ04/s1600/timothy.jpg)
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa.
Kisa cha kujiua kwake kimetajwa ni kusababisha ajali, baada ya kuligonga gari jingine katika eneo la Mbauda wakati akitokea katika makazi yake yaliyopo eneo la Kwa Mrombo, jijini...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Mroki ajipiga risasi na kufa jijini Arusha
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa.
Kisa cha kujiua kwake kimetajwa ni kusababisha ajali, baada ya kuligonga gari jingine katika eneo la Mbauda wakati akitokea katika makazi yake yaliyopo eneo la Kwa Mrombo, jijini...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Msanii mchimba madini ajipiga risasi
MSANII wa Bongo fleva na mchimbaji madini wa Kampuni ya Tanzanite One katika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Moses Komba (28), amenusurika kufa kwa kujipiga risasi...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Dereva wa OCD wilaya ya Manyoni ajipiga risasi na kufariki
Na Nathaniel Limu, Singida
DEREVA wa OCD wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,Aloyce Alibinus amefariki dunia papo hapo baada ya kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.
Akizungumza kwa njia ya simu, OCD wilaya ya Manyoni ASSP, Alute Yusufu Makita,amesema tukio hilo limetokea jana februari mbili saa tano asubuhi Manyoni mjini.
Akifafanua alisema kuwa asubuhi ya jana dereva wake bila yeye kujua alikwenda kwenye ghala la kutunzia silaha na kuomba bunduki kwa madai kuwa wanaenda na bosi wake...
10 years ago
Mwananchi10 Aug
NYANZA: Ajipiga risasi, aacha ujumbe kwa baba mkwe
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Mfanyabiashara auawa kwa risasi
MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
11 years ago
Habarileo10 Jul
Mfanyabiashara apigwa risasi ugomvi wa fedha
MFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Daud Madaha amepigwa risasi kifuani na yuko mahututi katika hospitali ya rufaa ya Selian Jijini Arusha.
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Jan
Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...