NYANZA: Ajipiga risasi, aacha ujumbe kwa baba mkwe
Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Jitegemee ya Mwanza, Stephano Imbuhu (39), amejiua kwa kujipiga risasi kutokana na kile kinachodaiwa mgogoro katika ndoa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Feb
NYANZA: Familia, polisi, kanisa wamtenga askari aliyejiua kwa risasi mdomoni
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Msanii mchimba madini ajipiga risasi
MSANII wa Bongo fleva na mchimbaji madini wa Kampuni ya Tanzanite One katika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Moses Komba (28), amenusurika kufa kwa kujipiga risasi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBthXV2sose3tCmqcnxZT7wsZhcpYc8Hb7GyiNGYyrQZjeGcWQXs5jZQ-OgGTEiPSeCGPQq*qfI*v0FfP*7dKs3/timothy.jpg?width=400)
MFANYABIASHARA AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-iOmOc90UA08/VE3hesyN_-I/AAAAAAAAYX0/omTJwfQfQ04/s72-c/timothy.jpg)
MROKI AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-iOmOc90UA08/VE3hesyN_-I/AAAAAAAAYX0/omTJwfQfQ04/s1600/timothy.jpg)
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa.
Kisa cha kujiua kwake kimetajwa ni kusababisha ajali, baada ya kuligonga gari jingine katika eneo la Mbauda wakati akitokea katika makazi yake yaliyopo eneo la Kwa Mrombo, jijini...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Mroki ajipiga risasi na kufa jijini Arusha
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo la Shams, jijini hapa.
Kisa cha kujiua kwake kimetajwa ni kusababisha ajali, baada ya kuligonga gari jingine katika eneo la Mbauda wakati akitokea katika makazi yake yaliyopo eneo la Kwa Mrombo, jijini...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Dereva wa OCD wilaya ya Manyoni ajipiga risasi na kufariki
Na Nathaniel Limu, Singida
DEREVA wa OCD wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida,Aloyce Alibinus amefariki dunia papo hapo baada ya kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.
Akizungumza kwa njia ya simu, OCD wilaya ya Manyoni ASSP, Alute Yusufu Makita,amesema tukio hilo limetokea jana februari mbili saa tano asubuhi Manyoni mjini.
Akifafanua alisema kuwa asubuhi ya jana dereva wake bila yeye kujua alikwenda kwenye ghala la kutunzia silaha na kuomba bunduki kwa madai kuwa wanaenda na bosi wake...
10 years ago
Vijimambo06 Jan
Aua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2579930/highRes/915412/-/maxw/600/-/87tamy/-/ushahidi.jpg)
Songea. Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema Kilimanjaro kwa kumpasua...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
NYANZA: Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake, kisa mahari
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi
Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]
The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...