Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, Mihayo Msikhela akiwaonesha wandishi wa habari ujumbe ulioachwa na marehemu Emmanuel Moshi baada ya kumuua mfanyabiashara mwenzake Didas Alphonce kwa kumkata na shoka kichwani na kisha yeye kujiua kwa kujinyonga. Picha Joyce Joliga
Songea. Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema Kilimanjaro kwa kumpasua...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Aua watu 8 naye ajiua Canada

Polisi nchini Canada wanasema kuwa watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye naye alijiuua.

 

10 years ago

Mwananchi

Aua mtoto, ajiua kisa meseji

Mkazi wa Mji wa Kisoko, Philip Wandera (27) amejitupa na wanawe wawili katika Mto Sio, baada ya kuzozana na mkewe kuhusu ujumbe mfupi(sms) alioupata katika simu yake.

 

10 years ago

Habarileo

Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.

 

10 years ago

CloudsFM

NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA

MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.

Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Ajipiga risasi, aacha ujumbe kwa baba mkwe

Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Jitegemee ya Mwanza, Stephano Imbuhu (39), amejiua kwa kujipiga risasi kutokana na kile kinachodaiwa mgogoro katika ndoa.

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya aacha wosia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Mark Mwandosya ameaga rasmi ubunge na kutoa wosia kwa mawaziri watakaoteuliwa katika Serikali ijayo, kuwa wasikivu kwa wabunge, ili taifa lifikie maendeleo.

 

9 years ago

GPL

MAUREEN AACHA MKOROGO

Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary. Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary ambaye pia ni mcheza filamu, baada ya kujichubua na kubadili ngozi yake ameamua kuacha mkorogo kutokana na marafiki kumuonya kila kukicha. Rafiki wa karibu na Maureen alisema kuwa sasa ameamua kuacha mkorogo kwani hakuna aliyekuwa akimsapoti kutokana na kujichubua kwake.“Yaani marafiki tumesababisha mpaka Maureen ameacha mkorogo...

 

11 years ago

GPL

Pluijm aacha kazi Yanga

Kocha Mholanzi wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mholanzi wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameacha kazi katika klabu hiyo.
Pluijm ameondoka nchini jana kwenda Saudi Arabia, Mashariki ya Kati barani Asia ambako ataingia mkataba wa kuinoa Klabu ya Al Shoala na atakuwa akilipwa dola 20,000 (Sh milioni 32) kwa mwezi wakati Yanga ilikuwa ikimlipa dola 11,000 (Sh milioni 18) kwa mwezi.
Pluijm alitua Yanga miezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani