Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm aacha kazi Yanga

Kocha Mholanzi wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mholanzi wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameacha kazi katika klabu hiyo.
Pluijm ameondoka nchini jana kwenda Saudi Arabia, Mashariki ya Kati barani Asia ambako ataingia mkataba wa kuinoa Klabu ya Al Shoala na atakuwa akilipwa dola 20,000 (Sh milioni 32) kwa mwezi wakati Yanga ilikuwa ikimlipa dola 11,000 (Sh milioni 18) kwa mwezi.
Pluijm alitua Yanga miezi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hakimu Karagwe aacha kazi ghafla

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Hakimu wa Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, Peter Matete, ameacha kazi ghafla, huku akikwepa kutaja sababu ya hatua hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jana  mjini Kayanga,...

 

11 years ago

GPL

AFISA HABARI WA FUFA, MULINDWA AACHA KAZI

Afisa habari wa FUFA, Rogers Mulindwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo

 

9 years ago

BBCSwahili

Amokachi aacha kazi baada ya wiki tano

Daniel Amokachi amejiuzulu wadhifa wake kama meneja wa FC IfeanyiUbah, Nigeria baada ya kufanya kazi wiki tano pekee.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Maulid Kitenge aacha kazi Radio One na kujiunga na EFM

Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha redio cha Radio One Stereo, Maulid Kitenge ameacha kazi na kwenye kituo hicho na kujiunga na kituo kipya cha redio, EFM. Kitenge akisaini mkatana wa kujiunga na EFM, kushoto ni Mkurugenzi wa Vipindi, Dickson ‘Dizzo’ Ponela Katika barua yake ya kujiuzulu, Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho […]

 

11 years ago

GPL

Pluijm kufanya kazi na Maximo

Hans Van der Pluijm.
Na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema kuwa usajili wa Kocha Mbrazili, Marcio Maximo lazima ufanywe kwa kutumia ripoti ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mholanzi, Hans van Der Pluijm.
Mbrazili huyo anatarajiwa kutua siku yoyote kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho kinachotarajiwa kushiriki Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika.… ...

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm: Yanga bingwa

KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.

 

10 years ago

Mtanzania

Pluijm ashtuka Yanga

hans_clipJENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...

 

11 years ago

Mwananchi

Pluijm adai mshahara Yanga

Kocha wa zamani wa Yanga, Hans van Pluijm ameishitaki klabu hiyo kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushindwa kumlipa mshahara wake wa mwezi huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani